Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA ajitambulisha kama MwanaCCM akichangia hoja Bungeni

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,619
Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁

---
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma baada ya kutumia maneno "Wana-CCM wenzangu," katika maelezo yake wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025.

Amesema ametumia maneno hayo kwa sababu moja ya nyenzo ambazo wabunge hupatiwa wanapoingia bungeni ni Ilani ya Chama cha Mapinduzi ili kufuatilia utekelezaji wake.

Chanzo: TBC

My Take
Mbowe na Dr. Slaa na Wapinzani wengi tuu hawajawahi rudisha kadi za CCM, wako Upinzani Kwa maslahi kama kichaka Cha kutafutia vyeo Serikalini na CCM.

CCM ni Baba na Mama wa wote.
 
Kwani nini cha ajabu? Yaani tunaifanya siasa kama pumzi kwamba kavuta maji badala ya hewa! Tunakosea mara ngapi hata kuzungumza matusi? This is just Flimsy!

Mod futa uzi mfu kama huu kwani kasema amehama? Bunge mavi tu!
 
Sidhani kama alichofanya huyo mwanamke ni bahati mbaya, simply wanajua wao kurudi Chadema ni ngumu sana, hivyo wameanza kujiandalia safari ya kule waendako, just a matter of time..
 
Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁

---
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma baada ya kutumia maneno "Wana-CCM wenzangu," katika maelezo yake wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025.

Amesema ametumia maneno hayo kwa sababu moja ya nyenzo ambazo wabunge hupatiwa wanapoingia bungeni ni Ilani ya Chama cha Mapinduzi ili kufuatilia utekelezaji wake.

Chanzo: TBC

My Take
Mbowe na Dr. Slaa na Wapinzani wengi tuu hawajawahi rudisha kadi za CCM, wako Upinzani Kwa maslahi kama kichaka Cha kutafutia vyeo Serikalini na CCM.

CCM ni Baba na Mama wa wote.
That's deep in her! The 'unconscious self' was speaking!
 
Shida yako unadhani upinzani ni personalities.
 
Huyo Hawa Mwaifunga hata asingesema ni ccm hilo linafahamika. Kinachombakiza cdm ni huo ubunge wa mchongo. Hata kibenten wake Ali Bananga amesharejea ccm, yeye anasubiri muda tu.
Kwa matusi waliyotukanwa, hivi kweliii. Duuuuuuh.
 
A
Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁

---
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma baada ya kutumia maneno "Wana-CCM wenzangu," katika maelezo yake wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025.

Amesema ametumia maneno hayo kwa sababu moja ya nyenzo ambazo wabunge hupatiwa wanapoingia bungeni ni Ilani ya Chama cha Mapinduzi ili kufuatilia utekelezaji wake.

Chanzo: TBC

My Take
Mbowe na Dr. Slaa na Wapinzani wengi tuu hawajawahi rudisha kadi za CCM, wako Upinzani Kwa maslahi kama kichaka Cha kutafutia vyeo Serikalini na CCM.

CCM ni Baba na Mama wa wote.
CCM ikiwa baba na mama yako mwenyewe inatosha.
 
Kumbe hata Mbowe, Lissu na wengineo walikuwa wamekabidhiwa ilani ya chama cha mapinduzi na hawasemi 😂
 
Back
Top Bottom