Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,753
- 15,785
Mkuu tumeonja utamu wa ngubiti ivyo tuwe makini
Mkuu kumbe wewe muhenga,nikajua kadogo ka 2000 πππππππππΎββοΈππΎββοΈGubiti daah kitambo ndiyo zilikuwa chokleti zetu Enzi zile. Unanunua moja unamung"unya taratibu mpk home.
Hebu nionyeshe Mwanamke kwenye hiyo mada.Angalia vema utaona tu.Ving'ang'a!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£.. Chalamila eti baada ya kupokea taarifa za Msiba wa Magufuli...anamwambia mke wake eti hebu nishike hapa kifuani au mimi ndiye nimekufa....,
Weeee nimekula kulla si haba. Gubiti mabumunda si haba Enzi hizo.Mkuu kumbe wewe muhenga,nikajua kadogo ka 2000 πππππππππΎββοΈππΎββοΈ
Wewe kinyeo kweli kweli katika historia yako hapa tanzania ni rais gani kaingia madarakani kwa kuia maelfu ya wananchi zaid ya muislam wenuWaislamu hawana shida na madaraka,
Hawajioni Mungu mtu,
Hii shida iko kwa wagalatia, akipata madaraka anajiona Mungu,
Angalia hata huko makazini kwenu, ukiongozwa na mkiristo hasa wa nyanda za juu kusaini au kaskazini lazima mpate taabu,
Wakristo wasio na shida ni wale waliokulia mikoa yenye waislamu wengi,, wanakuwa hawana uchu na madaraka au hawajioni mungu mtu
Ilikua ya sh 10 tu unajilia vyko alooo Long time ago ππWeeee nimekula kulla si haba. Gubiti mabumunda si haba Enzi hizo.
mbonaliyepo ni wa hiyo dini na anajiona mungu mtu...punguza unafikiWaislamu hawana shida na madaraka,
Hawajioni Mungu mtu,
Hii shida iko kwa wagalatia, akipata madaraka anajiona Mungu,
Angalia hata huko makazini kwenu, ukiongozwa na mkiristo hasa wa nyanda za juu kusaini au kaskazini lazima mpate taabu,
Wakristo wasio na shida ni wale waliokulia mikoa yenye waislamu wengi,, wanakuwa hawana uchu na madaraka au hawajioni mungu mtu
Sh 10 mbona bei ghali sana sisi wa shilingi wkt ina thamani mkuu unapewa sh 5 kwa siku tano maza kaenda IDM hapoIlikua ya sh 10 tu unajilia vyko alooo Long time ago ππ
10 apo ilikua unapata ngubiti 2,Mimi nilikua napewa 50 ad 100 kwenda nayo shule aloo nilikua na ma bodi guard shule hunigusi ππSh 10 mbona bei ghali sana sisi wa shilingi wkt ina thamani mkuu unapewa sh 5 kwa siku tano maza kaenda IDM hapo
Sisi shilingi tano kwa wiki nzima kwa siku sh 1, na unakula gubiti na miwa fresh kbs teeena kibosi.10 apo ilikua unapata ngubiti 2,Mimi nilikua napewa 50 ad 100 kwenda nayo shule aloo nilikua na ma bodi guard shule hunigusi ππ