Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,953
- 2,431
Unafika pale usiku wa manane na mgonjwa aliezidiwa, mnaingia kwa daktari badala ya kuwahudumia anatype tuu kwenye computer kwa dakika zaidi ya kumi na tano huku akiwaambia msubiri.
Sasa sijui anasubiri mpaka mgonjwa afe hapo mbele yake ndio amuhudumie au vipi?
Hii ni huduma ya hovyo sana, ilibidi nimuhamishe mgonjwa wangu haraka sana kwenda hospitali nyingine yenye huduma nzuri na tulihudumiwa haraka sana.