Hospital ya Kitengule Tegeta ni Mashaka makubwa kwenye vipimo

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
734
Reaction score
2,272
Wanabdodi,
Nimewahi kwenda mwenyewe zaidi ya mara mbili kupata vipimo naambiwa huna kitu lakini napatiwa dawa za kutibu ugonjwa kwa makisio tu na hali huwa haibadiliki

Gharama zao zipo juu sana lakini kinachofanyika kina mashaka makubwa

Madaktari ni mabinti wadogo vijana sana lakini uwezo wao ni wa mashaka makubwa

Baada ya kuambiwa sina ugonjwa na hali yangu ikiwa bado naona naumwa nilienda hospita nyingine nikaambiwa nina Malaria na dalili za vidonda vya tumbo ,Nikapata tiba na kuendelea vizuri

Week iliyopita nimempeleka mtoto hospital ya kitengule Tegeta ambaye kwa kumuangalia tu anaumwa na hata joto lake lipo juu sana lakini baada ya kupima full blood picture ,choo na mkojo naambiwa hana kitu lakini wakanipa dawa za blood infection kwa kukadiria tu,Nilipowauliza mbona mtoto joto lipo juu wananijibu basi umlaze tumchome sindano,Nimepatiwa dawa lakini hali ya mtoto ni ile ile na joto lipo juu

Leo nimetoka tena kwenda mjini ili kuweza kuchukua vipimo upya vya mtoto,Na dakatari aliyempokea hapa anashangaa baada ya kumpa maelezo kuwa huyu unavyoona na hili joto anaendelea na tiba ya hospital ya kitengule

Sijajua ni uwezo mdogo wa wapimaji maabara au ndio uwezo mdogo wa madaktari wa pale

Ni muhimu hizi hospital binafsi zikaangaliwa
 
Hapo sababu inaweza kuwa wapimaji au vipimo. Pole mkuu kwa yote, cha muhimu ni kuwa umepata huduma stahiki mahali pengine.
 
Hao mabinti wadogo uliowakuta ni ki a nani! ni madaktari au manesi!?au ni vibaka wa taaluma za watu
 
Hao wapimaji wa maabara watoke wapi..????? . Asilimia kubwa kwa sasa vipimo vya maabara vina pimwa na manesi ndo maana majibu yanakua ya hovyo kila kukicha

Tuliwahi kusema humu kuwa jamii forum wawapazie sauti wataalam wa maabara kuingiliwa kwenye kazi zao, lakini mka waona takataka..

Sasa Tulieni hivyo hivyo dawa iwaingie.
 
Nililazwa pale siku 8 sikupata nafuu yoyote nilipozidiwa nikaponea muhimbili baada ya kupitia rabininsia. . Rabininsia walishangaa imekuwaje bado nipo hai wakanikimbiza muhimbili, nikapona. WANA JENGO KUBWA, AKILI NDOGO.
 
Nahisi wale madaktari uwezo ni mdogo sana na watu wa maabara hakuna kitu pale
Ni madaktari vijana naona hawana succession plan

Ilipaswa waajiri mchanganyiko ili kuwajengea uwezo vijana
 
Kiukweli Dr. wa Muhimbili wapo vizuri sana hata ukimkuta wa Muhimbili yupo pvt wanakuwa wako vyedi sana. Hizi pvt baadhi kiukweli zina watumishi ambao kiuwezo bado hawajakomaa kingine nadhani wanataka wapate faida kubwa by any means aisee huwa nampeleka dogo Aga khan lol hayo madawa anayoandikiwaga eeb baba eeh na sometime wapo tayari kupita njia za panya ili upate dawa ambayo bima haicover (kwa mgonjwa faida hiyo 🤣🤣🤣) mfano creams anyway ukiona hosp fulan haikufai na kuna alternative unaenda tu kwenye hiyo alternative cha kufia nini?
 
Wanabdodi,
Nimewahi kwenda mwenyewe zaidi ya mara mbili kupata vipimo naambiwa huna kitu lakini napatiwa dawa za kutibu ugonjwa kwa makisio tu na hali huwa haibadiliki

Gharama zao zipo juu sana lakini kinachofanyika kina mashaka makubwa

Madaktari ni mabinti wadogo vijana sana lakini uwezo wao ni wa mashaka makubwa

Baada ya kuambiwa sina ugonjwa na hali yangu ikiwa bado naona naumwa nilienda hospita nyingine nikaambiwa nina Malaria na dalili za vidonda vya tumbo ,Nikapata tiba na kuendelea vizuri

Week iliyopita nimempeleka mtoto hospital ya kitengule Tegeta ambaye kwa kumuangalia tu anaumwa na hata joto lake lipo juu sana lakini baada ya kupima full blood picture ,choo na mkojo naambiwa hana kitu lakini wakanipa dawa za blood infection kwa kukadiria tu,Nilipowauliza mbona mtoto joto lipo juu wananijibu basi umlaze tumchome sindano,Nimepatiwa dawa lakini hali ya mtoto ni ile ile na joto lipo juu

Leo nimetoka tena kwenda mjini ili kuweza kuchukua vipimo upya vya mtoto,Na dakatari aliyempokea hapa anashangaa baada ya kumpa maelezo kuwa huyu unavyoona na hili joto anaendelea na tiba ya hospital ya kitengule

Sijajua ni uwezo mdogo wa wapimaji maabara au ndio uwezo mdogo wa madaktari wa pale

Ni muhimu hizi hospital binafsi zikaangaliwa
Wanapachikana tu hao vilaza ofisini
 
Nililazwa pale siku 8 sikupata nafuu yoyote nilipozidiwa nikaponea muhimbili baada ya kupitia rabininsia. . Rabininsia walishangaa imekuwaje bado nipo hai wakanikimbiza muhimbili, nikapona. WANA JENGO KUBWA, AKILI NDOGO.
Duh ni htr
 
Back
Top Bottom