Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Inabidi badala ya kukimbizana na chadema make chini mje na bima nafuu kwa wananchi woteBei!
Inabidi badala ya kukimbizana na chadema make chini mje na bima nafuu kwa wananchi woteBei!
Isingekuwepo hosp ya Kitengule, huenda by now ningekuwa ni marehemu. Jamaa waliweza kunitibu ugonjwa ambao hospitali zote nilizoenda walikuwa hawauoni.
Nawashukuru sana madaktari wa Kitengule kwa kuokoa maisha yangu.
Tatizo wale nao gharama kubwa sana sijui wanawatibu watu gani pale. Labda wazungu tuRuka hapo Rabininsia Hospital utahudumiwa fasta hakuna Longo longo kitengo cha emergency kiko active 24hrs.Hawa bila hata pesa kama mginjwa kazidiwa atapata huduma kwanza pesa badae wengine bila pesa hakuna huduma unafia kwenye benchi.
Lipia TANGAZOIsingekuwepo hosp ya Kitengule, huenda by now ningekuwa ni marehemu. Jamaa waliweza kunitibu ugonjwa ambao hospitali zote nilizoenda walikuwa hawauoni.
Nawashukuru sana madaktari wa Kitengule kwa kuokoa maisha yangu.
Mloganzila kila mgonjwa a nakufa [emoji23][emoji23]Mloganzila is the place to go kwa tulio Kimara Hadi Kibaha.