Nitaanzaje kushindwa kwa mfano.[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] shindwaaaa
Zamani je? Na sa hv umejuaje?JF siku hizi ina watoto wakali hatari.. daaah
Sijawanyooshea mm [emoji29] nmesema tuNitaanzaje kushindwa kwa mfano.
Ukimnyooshea mwenzako kidole kimoja,vi 4 vinakutazama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu hulia kwa mengi maana harusi zina mambo mengi...
usikute mweka hazina alikimbia na fungu ila watu wakajipanga upya tena
umeona sasa [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja alisema alikua anaumwa na tumbo ila ni kujikaza tu harusi iishe.
Yani kitendo cha kusema vinakuchafua tayari ushavinyooshea mkuu,ndo mana nikakwambia usije ukazaa midume tupu afu yote vibamia.Tena baba yao akiwa kibamia ndo kabisaaaSijawanyooshea mm [emoji29] nmesema tu
ExactlyKwahiyo vilio vingine ni vya machungu sio??
Pole sana mpendwa wangu....Furaha na huzuni pia!!! Kuna matendo yanakumbusha mbali, unakumbuka ulipotoka... Mwingine labda aliambiwa hatoolewa..
Kwenye harusi ya dada yangu nililia haswa pale alipopanda kwenye gari na mumewe kuondoka ukumbini! Yaani nikaanza fikiria bye bye kupiga umbea usiku tukiwa chumbani, ntavimisi vituko vyake etc
Yes. The screw fits the hole of its size. This just clarifies, if don't like a kibamia automatically you p will be of a big size yaani Bwawa....They say haviridhishi au kumfikisha mwanamke aendako nahivo kumchosha tu kwa usumbufu wa robo safari
Teh Defense mechanism hio khakhaYes. The screw fits the hole of its size. This just clarifies, if don't like a kibamia automatically you p will be of a big size yaani Bwawa....
Ujue machozi ya watu yanatofautiana.. Kuna mwingine hata akifaulu mtihani anatokwa na machozi au hata mwanae akifanikiwa tu yeye analia ndio anakuwa na amaniMfano baba /mama nao wakilia wanafurahia wanao kuoa / olewa au??
Tena hao wapo wengi sana.. Namimi nikiwepoumeona sasa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Au nyingine unakuta ndugu wanamuwekea kauzibe asiolewe