Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

Ikitokea hiyo chance I swear to God sitayaficha machozi yangu ya furaha na kumbukumbu heartbroken nilizowahi kupitia kwa niliowaamini
 
Hahaha unanichongea eeh?? Unasema mimi sio wa nchi hii ili uhamiaji waje wanidai vyeti? Haha
Kuna mtu juzi tupo nae mjini huko nikashangaa anaitwa jina tofauti na tunalolijua kazini
Sisi hatuna hili wala lile tunashangaa mwenzetu huyo kaitika anaenda kwa aliyemwita
Badae kuja kumuuliza kumbe unaitwa naniliu akajibu
Hilo ni la nyumbani na si kazini khakhaakhaa
Jina lenyewe la nyumbani ni haya common kabisa sio la kilugha wala
Nikawaza tu ndo hawa kina... ........
 
Nikasome wapi mkuu? Hunitakii mema wewe
Hahaha!! Hapana Mkuu STUNTER .

Nakufuatilia sana humu Jamvini mara kadhaa na leo nimeona si vyema kukuacha pasipo kukushauri lolote ili uzidi kuwa bora ya hapa ulipo.

Unapenda kuchepuka sana katika mada nyingi.Utakuta wadau wanazungumzia Dawa za asili halafu wewe unakuja na Jibu la Njia sahihi ya kumsaidia Daudi Bashite (Ni mfano wa hovyo lakini).Sasa kwa namna hii hatuwezi kupata jibu la Dawa za asili.

Maana yangu ni hiyo Mkuu.Usipende kuchepuka.Wewe ni mtu adhimu sana Humu.
 
They cry for freedom, hakuna kitu kizur ka uhuru aikwambie mtu, sasa unaenda kuishi jela ndogo, yan utii bila shuruti, kila kitu had ukubaliane na mwenzako na hapo hapo vingne ulivozoe kuvifanya ye hataki, kama ulikua mtu wa michepuko yan harusi ndo msiba mkubwa hapo, plus kujiunga kifurushi cha halichachi kwenye swala zima la mgegedano, weeeee lazima umwage chozi asee
 
Back
Top Bottom