Na wanaume wanaolia je?!Wapo wanaolia kwa furaha, wengine kwa huzuni wa kuwa mbali na mpendwa au wapendwa wao na pia inawezekana ata bibi harusi analia kwa kufikria gegedo la daily
Ni tendo la furaha hasa ukioa au kuolewa na umpendaeHawakuamini au??
Mwanaume labda analia kwa kuona ndoto yake imetimia ya kumweka ndani uyo mremboNa wanaume wanaolia je?!
Kumbe Bi harusi anawazaga Gegedo tu ??
Mhhhhhhhhhhhhhh
Stunter we sio wa nchi unajuaWewe unashangaa hayo?? Kuna watu wengine ni wakubwa tu serikalini lakini wanalia Kanisani
Wapo wanaolia kinafiki lakiniWanakua too emotional kwa furaha
Ukiona mwanaume analia ujue amekamia show kinyama,anaona km muda haufiki