Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.
Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa? Kunyimwa haki na wizi wa kura? Rais anatugawa. Huku sio kuilinda Katiba yetu aliyoapa kuilinda.
Nakumbuka kule Misri tabia kama hii waliifanya Muslim Brotherhood na ililiingiza Taifa lao kwenye machafuko hadi jeshi likaamua kushika hatamu.
Vyombo na Dola kuweni macho. Watu waliofilisika hoja wanataja UDINI JK Nyerere. 29 October sio uchaguzi wa Imam