domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,545
- 1,719
Akili huna
Kweli kabisa, sina akili, kwa kuwa wewe ndio kipimo cha akili
Akili huna
Wewe hujui CDM ni chama cha akina nani ?Yalianza malalamiko Mkoa wa Ruvuma kuwa CHADEMA wameteua mbunge wa viti maalum ambaye si mwenyeji wa Mkoa huo. Wanawake wa BAWACHA wakaandamana kupinga ukandamizaji huo wa CHADEMA. Hawakusikilizwa.
Zikaja taarifa za Frederick Sumaye kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Hili lilijadiliwa kimya kimya wengi wakiwa na mtazamo kuwa Sumaye kajidhalilisha kugombea nafasi hiyo. Hapa suala la Ukaskazini kusimikwa Pwani halikujadiliwa.
Sasa limekuja hili la Patrick Ole Sosopi kugombea Uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Ziwa Nyasa. Hili limeanza kupigiwa kelele. Baadhi ya wana CHADEMA hasa kwenye magroup ya facebook wameanza kupaza sauti kuwa kinachofanywa na CHADEMA Makao Makuu 'kuimport' watu wa Kaskazini kugombea uongozi kwenye kanda zingine hakika halikubaliki. Ikumbukwe kuwa karibu safu yote ya Wakurugenzi wa CHADEMA Makao Makuu wanatoka Kanda ya Kaskazini. Sasa kanda zingine wameanza kuwapangia nani awaongoze kitu ambacho si sahihi.
Swali la kujiuliza, je ni kweli CHADEMA hawana watu sahihi wa kuongoza chama kwenye kanda tofauti na wale wanaotoka Kaskazini? Au kuna nini nyuma ya pazia?
Acha ukabila wewe, sosopi kuzaliwa isimani mkoani iringa je u kaskazini unakujaje? Iringa ni kaskazini?
aje aseme kuwa yeye ni wa kanda ya kaskazini? sahaukama tuhuma hizi ni za kweli na si propaganda basi chadema kinaelekeaa kukosa sifa ya kujipambanua kama chama cha kitaifa na si cha kikanda. naomba kina ben saanane waje wathibitishe haya ili sisi wanchama wengine tupate mwanga
Viti maalumu havipatikani kutoka na wabunge wa mkoa fulani eti wako 5, basi viti maalumu vitatoka vingi huko, hiyo ni akili yakuambiwa. Ni suala linaloongozwa na mchakato, tena kwa taarifa yako mchakato wa viti maalumu 2010-2015 ulisimamiwa na Kitila Mkumbo. Kwa hilo umechemka CDM ina mchakato mzuri tena usio na upendeleo.Nakumbuka bunge lilopita Shinyanga(sasa Shinyanga na Simiyu) ilikuwa na wabunge wanne was kuchaguliwa ila viti maalumu mmoja tu wakati Kilimanjaro ilikuwa na wabunge watatu wa kuchaguliwa lakini viti maalum walikuwa 10+. Chadema iliiangalie hili kwa jicho LA tai.
Kwa vile amesema Ruvuma kiserikali inatambulika ipo nyanda za juu kusini?huoni kama hapo ameongopa?Pamoja na ukweli kwamba lizaboni ni ant chadema lakin alichokisema naona kina mashiko, sisi kama chadema tuache mipasho , tulifanyie kaz hili suala. La sivyo CCM wataendelea kupeta tuuuu.