Vitanda na Godoro vinauzwa bei mseleleko

Vitanda na Godoro vinauzwa bei mseleleko

Joined
Jul 8, 2026
Posts
18
Reaction score
32
Tunafanya Renovation ya Guest ipo Pugu Majohe, so tunatoa vitanda vya zamani tunaweka kitanda vipya na kupaka rangi so vile vya zamanibtunauza bei ya kutupa kabisa

1. Kitanda 150,000 Godoro 120,000

2. Ukichukua kitanda na Godoro utalipia 140, 000 pia magodoro yamebakia mawili tu njoo uone kazi uchukuwe fasta. Ahsante

0710782874
 
Attachments

  • 20260901_162320.jpg
    20260901_162320.jpg
    583.9 KB · Views: 7
  • 20260901_162318.jpg
    20260901_162318.jpg
    590.6 KB · Views: 4
  • 20260901_162308.jpg
    20260901_162308.jpg
    495.4 KB · Views: 4
  • 20260901_162303.jpg
    20260901_162303.jpg
    569 KB · Views: 4
  • 20260901_162240.jpg
    20260901_162240.jpg
    596.6 KB · Views: 4
  • 20260901_162212.jpg
    20260901_162212.jpg
    292.8 KB · Views: 6
  • 20260901_162221.jpg
    20260901_162221.jpg
    229.6 KB · Views: 4
🦁😬😒😫👀👀👀👋👋👋
 
hayo magodoro inabidi yapuliziwe dawa kali kuua wale viluilui wenye vichwa vikubwa
 
Ila watu humu mna maneno eeh😂kwamba mtu akinunua kitanda au godoro ameondoka na wananchi wake😁
 
Tunafanya Renovation ya Guest ipo Pugu Majohe, so tunatoa vitanda vya zamani tunaweka kitanda vipya na kupaka rangi so vile vya zamanibtunauza bei ya kutupa kabisa

1. Kitanda 150,000 Godoro 120,000

2. Ukichukua kitanda na Godoro utalipia 140, 000 pia magodoro yamebakia mawili tu njoo uone kazi uchukuwe fasta. Ahsante

0710782874
Kwanini msipeleka kugawa kwenye orphanage?
 
Hii biashara imeshakuwa ngumu. Kutaja neno "guest" kumeharibu kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom