Kuna carrying capacity ya dunia bado ni kubwa sana ikilinganishwa na idadi ya watu waliopo. Angalia mfano mdogo wa Tanzania. Ukisafiri kwa basi utagundua maeneo mengi ni maporini na sehemu zilizo na makazi ya watu ni chache sana. Hence kuna uhitaji wa watz kuendelea kuzaliana kwa wingi.
Hayati Magufuli hakukosea kuhamasisha watu wazaliane kwa wingi.
Hayati Magufuli hakukosea kuhamasisha watu wazaliane kwa wingi.
YDunia Haina upungufu wa watu mkuu, ila inaelemewa na watu, watu wanatombana na kuzaa hovyo, kitanda kikubwa siyo shida.