Mkuu!Kulikuwa na vitanda vya miti (na kamba) vinaitwa 'telemka, tukaze'! Sina uhakika kama ilikuwa ni kukopi kutoka hiyo 'vono' au vilikuwapo kabla yake. Lakini kiasili, makabila mengi walikuwa wanalala chini au wanatengeneza kama kichanja hivi.
Mkuu!
Unavikumbuka vya aina hii nini?
Aisee!haaa haaa umenikumbusha mbali sana
tulikuwa tuna toa hizo coil spring ili kisipige kelele!:becky:
Sure,maybe wazungu waliona mbali kuhusu uharibifu wa mazingira. angalia tulipo sasa, vitanda vya mbao na makabati bei haishikiki. ukitaka kitu cha mbao ya mnazi, mkoko, mpingo ama mninga inabidi ulipie huku umejishikilia mahali kwa jinsi bei ilivyo mbaya.
PJ:hivyo vitanda pia viliitwa banco?
Na ukitaka kupajua hapo ambako bado wanatumia vitanda hivyo angalia picha kwa umakini!Exactly!....unafanya research ya vitanda nini? Kuna maneno kama 'tendegu' yanaanza kupotea taratibu kwa kuadimika kwa viatanda hivi. Inavutia kuona kumbe bado vinatumika/vinatengenezwa na kuuzwa (maana hiyo picha inaonekana ni recent tu).
Sure,
Inabidi ujishikilie ukutani ili usidondoke kwa Presha!...lol!
King'asti
Umefuatilia kwa umakini hii habari!...Nadhani kwa sasa haya mavitanda ya special yanayotoka Dubai, China nk yako cheaper kuliko vya kibongo!
Eti Paka jimmy hapo ni chalinze siyo!
mkuu paka jimmy umenikumbusha mali sana!!! haha haha haha haaMkuu!
Unavikumbuka vya aina hii nini?
Mkuu!
Unavikumbuka vya aina hii nini?