Kitambo kimepita sijaongea nanyi leo ndiyo leo!

Kitambo kimepita sijaongea nanyi leo ndiyo leo!

kapistrano

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,244
Reaction score
455
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasalimu wana CHIT-CHAT hawali ya yote ningependa kusema mungu yu mwema ametuchagua kwenye kipindi kingine 2013.

Mazungumzo yangu ya leo yatajikita ktk salamu na baada ya salamu ningependa kusisitiza upendo kwa wana CHIT-CHAT pia kwa wageni wanaoingia humu wawe wapole wajifunze kutoka kwa wakongwe wasione vimeelea wajue vimeundwa mwisho ila si kwa umuhimu tutumie fursa nawasilisha.
 
Karibu sana! Happy new year!

Karibu white party!
 
Karibu jamvini mkuu nipo Vigwaza huku nala maembe...
 
Tupo pamoja,, Spike Lee alitushauri tujikusanye vikundivikundi tukalime,hatuna majembe sasa tufanyaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom