Kitambi, kiriba tumbo, na kiriba hewa

Kitambi, kiriba tumbo, na kiriba hewa

8c0686e9-cb53-4905-9035-8e43f0a24df6.jpeg
 
min -me mbona kama unamuonea wivu Bamdo wa taifa.

Yan kumbatio lile ndio uje umfungulie uzi kuwa kile kitambi kimejaa mapupu?.
hebu mwache amfariji mjane.
 
Kuna demu mmoja hivi alikuwa kanenepa nikikaa nae kwenye abood ya DSM moshi alikuwa ananuka vibaya sana. Na alikuwa anakula kila kituo.

Nilikereka sana, ila niliishia kuunga. Na stori hana ni yeye na Iphone 16 yake tu. Ilikuwa taabu taabani. Alikuwa ananuka kama mavi ya wale watoto wa changa, hayakeri ila yanaboa.
 
Nani aliwaambia kumiliki kitumbo ni ujanja?

Una kuta mtu ana tumbo kubwa eti anatembea nalo kwa madaha kabisa , kisa ana kigari uchwara chake 🤔


Unamilikije fuko la mapupu , unajiamini vipi bila kuwa hata na aibu bwashee?

Nyie ndio mkipanda usafiri wa umma mnaacha harufu ya mavi ,gari zima .

Ebu piga mazoezi ukate hayo mapupu , goigoi wewe.
Picha mkuu ili stori inoge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom