Kitambi, kiriba tumbo, na kiriba hewa

Kitambi, kiriba tumbo, na kiriba hewa

Ungekuwa tajiri wa enzi zetu (mwaka 47) kama huna kitambi huna haki ya kuitwa tajiri hata kama una hela.

Mzee Grahams baelezee!
Kitambi hata cha kufutia simu ni muhimu uwe nacho

Tangu mwaka 47 kuwa na kitambi iliashiria utajiri

Hata Wazazi walifurahia binti zao kuolewa na wenye vitambi kidogo, wakimaanisha binti yao haendi kwenye njaa 🤪
 
Nani aliwaambia kumiliki kitumbo ni ujanja?

Una kuta mtu ana tumbo kubwa eti anatembea nalo kwa madaha kabisa , kisa ana kigari uchwara chake 🤔

Unamilikije fuko la mapupu , unajiamini vipi bila kuwa hata na aibu bwashee?

Nyie ndio mkipanda usafiri wa umma mnaacha harufu ya mavi ,gari zima .

Ebu piga mazoezi ukate hayo mapupu , goigoi wewe.
Kata wese ,Kata minyama ,Kimbiza Upepo Bwasheee!!
 
Kitambi hata cha kufutia simu ni muhimu uwe nacho

Tangu mwaka 47 kuwa na kitambi iliashiria utajiri

Hata Wazazi walifurahia binti zao kuolewa na wenye vitambi kidogo, wakimaanisha binti yao haendi kwenye njaa 🤪
Umenikumbusha jinsi mwaka wa 56 nilivyokwenda kutambulishwa kwa mkwe niliweka kigodoro tumboni halafu nikachomeka shati kwa juu ili nionekane nina kitambi.

Alhamdulillah walinipa binti yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom