Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,374
- 101,514
Dua hazitoshi.Tunawategemea wakalime mashambani watuuzie vyakula.kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Dua hazitoshi.Tunawategemea wakalime mashambani watuuzie vyakula.kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Na kitambi change kila sehem naheshimiwa...si Kwenye tax naitwa zee nail huku, hotel's reservation ya mtu nepeta mim. Baki na wembamba wako utazikwa nao. Mwanamke awe mwembamba na kidume betinaBongo ukiwa mgonjwa (bonge la tambi) unaonekana mzima ukiwa mzima (mwembamba) unaonekana mgonjwa.
Watu wanakupima kwa macho.
Huwa tukiona katuni za Said Michael tunacheka.Kumbe,wapo watu mfanano nao kabisa!
Huwa tukiona katuni za Said Michael tunacheka.Kumbe,wapo watu mfanano nao kabisa!
Mutu ya Sistimu😀
Mutu ya Sistimu😀
Ni utani tu wa hapa na pale ili kuwachangamsha wajitafakari.Wakichukia itakuwa mbaya sana.Kumekucha
Sasa,kibweka ni pale anapobaki kifua wazi halafu akomelee kipensi kifupi.
Chura kasoro Kuruka ruka tu
Sasa,kibweka ni pale anapobaki kifua wazi halafu akomelee kipensi kifupi.
Kwa utuliivuu,anatoa nasaha za lishe bora na afya maridhawa.
Halafu VAR inaonesha hawajavaa hata vimwanandani.Wapo chukuchuku kabisa.
Afandee tulafikiii,hapooo sawaaa! Attention!