min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,372
- 174,738
Nani aliwaambia kumiliki kitumbo ni ujanja?
Una kuta mtu ana tumbo kubwa eti anatembea nalo kwa madaha kabisa bila hata aibu š¤
Unamilikije fuko la mapupu , unajiamini vipi bila kuwa hata na aibu bwashee?
Nyie ndio mkipanda usafiri wa umma mnaacha harufu ya mavi ,gari zima .
Ebu piga mazoezi ukate hayo mapupu , goigoi wewe.