Kitambaa cha Mwanamke!

Kitambaa cha Mwanamke!

Kawaida akinamama huwa wanasafishia shafti baada ya kuduu kwa kutumia hivyo vileso. Acheni kuzunguka sema ukweli=Najilinji wa Njinjo. Kaunga confirm

I never use kitambaa, naingia bafuni kila baada ya kudo; na taulo au kanga yahusika kukausha maji. So ukinialika kwako make sure bed room yako ina washroom ndani yake.
Leso ni kwangu mimi ni kwa matumizi Nikupeyotaja huko juu.
 
Sio mdada, mtu yeyote mwenye akili timamu sidhani kama utaona ni sahihi kuacha jasho likutitirike au kukaa kwenye sehemu chafu.

Huyo aliyeanzisha mada ni dizain ya binadamu wanaoamini ili uonekane mwanaume basi inalazimu uwe mchafu mchafu usiyejijali [Angalizo ni jina lake: Faru dume yaani anaamini dumeism ni u-rafurafu]. Mijino ya njano yenye ukoko, sura imejaa machunusi, misikio ina nta zinachungulia km mzinga ulio tayari kugemwa n.k

Inasikitisha mtu anayejua kusoma na kuandika, akafika mbali zaidi kiasi cha kuweza kutumia mtandao halafu aulize LESO YA NINI?!! Mkewe yaelekea ana shida sana, ndio hii yenye chupi moja tu, ikifua usiku inaweka mbele ya feni.......pambaf zake! Eti jinsia ME sio sana, HOVYOOOO labda ME wa ukoo wenu ndio hawabebi leso.
Nakumbuka nilipokuwa shule(boys) kuna mwalimu wetu alisisitiza sana kila mwanafunzi awe na leso kwa ajili ya usafi binafsi na kulinda afya za wengine mf.kutotema mate ovyo isipokuwa unatumia leso yako!Ni utamaduni mzuri ingawa baadhi ya wanaume kama mleta uzi anaweza akaamini ni jambo la kike zaidi!Watu kama hao usishangae anapenda kuwa na harufu kali ya kikwapa kama beberu ili aonekane mwanaume zaidi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Unaumwa mafua kila siku? Hata kama ni mlaji wa pilipili, kuna tissue za mezani?

Labda nitabeba wakati naumwa mafua lakini wet tissue zipo pia

Ukipata mafua, unafutia mikono baada ya kupenga peeeeennh kwenye skin jeans eeh???

Aisee siwezi ishi bila at least à dozen of vitambaa.
 
Me mwenyewe sielewi ni kwanini na nisipokua nacho nahisi nimepungukiwa....
 
Sio mdada, mtu yeyote mwenye akili timamu sidhani kama utaona ni sahihi kuacha jasho likutitirike au kukaa kwenye sehemu chafu.

Huyo aliyeanzisha mada ni dizain ya binadamu wanaoamini ili uonekane mwanaume basi inalazimu uwe mchafu mchafu usiyejijali [Angalizo ni jina lake: Faru dume yaani anaamini dumeism ni u-rafurafu]. Mijino ya njano yenye ukoko, sura imejaa machunusi, misikio ina nta zinachungulia km mzinga ulio tayari kugemwa n.k

Inasikitisha mtu anayejua kusoma na kuandika, akafika mbali zaidi kiasi cha kuweza kutumia mtandao halafu aulize LESO YA NINI?!! Mkewe yaelekea ana shida sana, ndio hii yenye chupi moja tu, ikifua usiku inaweka mbele ya feni.......pambaf zake! Eti jinsia ME sio sana, HOVYOOOO labda ME wa ukoo wenu ndio hawabebi leso.
ha ha ha ha hahaaaaaaaaa....., hapo kwenye red mkuu umetaka kunichomoa mbavu zangu.., hii ni kweli kabisa. leso ni kwa yeyote anaejali usafi wa mwili wake, sio wadada tu. sema kwa mwanaume inakaa zaid mfukon labda ndo maana haionekani.
 
leso ina kazi nyingi zaidi hata ya hizo ulizozitaja hapo juu,
sometimes ukipata majanga ukiwa on the way unaisokomeza huko huko hiyo leso na maisha yanasonga.

zaidi ni kuwa vile vileso vya mia tatu alivyovisema Kongosho huwa ni maalum kwa wajakazi, mabosi wao tunatumia zile zenye hadhi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Unaumwa mafua kila siku? Hata kama ni mlaji wa pilipili, kuna tissue za mezani?

Labda nitabeba wakati naumwa mafua lakini wet tissue zipo pia

Usitumie tissue kwenye pua kwa namna yeyote ile. Bora ufanye kama muanzisha mada, futia shati tu. Sasa issue itakuwa tata kama umevaa jeans tight na kitopu kama Kaunga anavyotingaja job
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka nilipokuwa shule(boys) kuna mwalimu wetu alisisitiza sana kila mwanafunzi awe na leso kwa ajili ya usafi binafsi na kulinda afya za wengine mf.kutotema mate ovyo isipokuwa unatumia leso yako!Ni utamaduni mzuri ingawa baadhi ya wanaume kama mleta uzi anaweza akaamini ni jambo la kike zaidi!Watu kama hao usishangae anapenda kuwa na harufu kali ya kikwapa kama beberu ili aonekane mwanaume zaidi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Vidume vya shamba hivyo, vinaamini ukiwa na sura mbaya ndio mwanaume sana. Hapo kwenye bold ndio alivyo huyo.
 
Usitumie tissue kwenye pua kwa namna yeyote ile. Bora ufanye kama muanzisha mada, futia shati tu. Sasa issue itakuwa tata kama umevaa jeans tight na kitopu kama Kaunga anavyotingaja job

Hahahah, jamani mbona navaa decent kabisa; yaani hadi scarf natupia shingoni.
Ila honestly l cant do without leso at least 2 a day, na hivi nina oily skin so natumia hata kupunguza mafuta kabla sijaenda powder my nose washroom.
 
Last edited by a moderator:
May be will have one for kicks and giggles

Usitumie tissue kwenye pua kwa namna yeyote ile. Bora ufanye kama muanzisha mada, futia shati tu. Sasa issue itakuwa tata kama umevaa jeans tight na kitopu kama Kaunga anavyotingaja job

Hahahah, jamani mbona navaa decent kabisa; yaani hadi scarf natupia shingoni.
Ila honestly l cant do without leso at least 2 a day, na hivi nina oily skin so natumia hata kupunguza mafuta kabla sijaenda powder my nose washroom.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom