Kitambaa cha Mwanamke!

Kitambaa cha Mwanamke!

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Habar zenu wakubwa!
Kunakitu kinanitatiza sana kuhusu hv vitambaa au Leso twapenda kuita,kwa nini asilimia kubwa sana wakina dada hupenda kuwa navyo kuliko jinsia Me(kiume)sasa ndo kusema ni usafi wa kujifuta jasho tu,au kuna kazi nyingine kinafanyia hebu tuelimishane hapo,ili nasi tujue wapendwa!
NAWASILISHA
 
Nala chapo majibu yatakayo tolewa na wadada.
 
ni kwa jili ya usafi wa kawaida, jasho, mafua, tukihisi nguo inavumbi tunafuta n.k hizo leso zingine hazionekani hadharani ni maalumu kwa seemu maalumu na ni tofauti za hizo. wengine wanakuja utapata majibu

eeeh!hzo hzo ndo 2nataka kujua...asante
 
Habar zenu wakubwa!
Kunakitu kinanitatiza sana kuhusu hv vitambaa au Leso twapenda kuita,kwa nini asilimia kubwa sana wakina dada hupenda kuwa navyo kuliko jinsia Me(kiume)sasa ndo kusema ni usafi wa kujifuta jasho tu,au kuna kazi nyingine kinafanyia hebu tuelimishane hapo,ili nasi tujue wapendwa!
NAWASILISHA
Nashukuru mkuu umeleta uzi mzito;
Hakika Vitambaa hivyo vina majina kibao na kila kitambaa kina hadhi yake,bei yake na wajiba wake. Nafikiri takwimu za
akina mama zitachangia kututafsiria kimatumizi.
 
ni for usafi......,jasho unajifuta cos mdada kutiririka mijashoo nayo haipendezi

ni kama awp ametoa majib yoote ya msingi
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: awp
Nashukuru mkuu umeleta uzi mzito;
Hakika Vitambaa hivyo vina majina kibao na kila kitambaa kina hadhi yake,bei yake na wajiba wake. Nafikiri takwimu za
akina mama zitachangia kututafsiria kimatumizi.

heeh!na majina vimepewa eeeh!wadada hebu FUNGUKENI BHASI NAS 2JUE
 
heeh!na majina vimepewa eeeh!wadada hebu FUNGUKENI BHASI NAS 2JUE

Kila mtu na hadhi yake, kuna mdada mmoja ajidai yeye hutumia aina ya Shafoni zake kutoka Dubai husemaga hivi ati nanua
Not less thn 200$...!! sijui ana mean nini..

Wengine hutumia Vitambaa hivyo na kulinganisha na rangi na mtindo wa nguo atazovaa...yaani matching !! mmh hii mbegu hatari!!
 
Leso km leso inayoshikwa mkononi ni kwa ajili ya usafi tu ni aibu sana kwa mwanamke kufuta jasho kwa kidole na kurusha hewan km wanaume weng wafanyavyo, leso hizo nyngne hata siku moja utakuta imeshikwa mkononi,inakaa sehemu maalum kwa kazi maalum.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Habar zenu wakubwa!
Kunakitu kinanitatiza sana kuhusu hv vitambaa au Leso twapenda kuita,kwa nini asilimia kubwa sana wakina dada hupenda kuwa navyo kuliko jinsia Me(kiume)sasa ndo kusema ni usafi wa kujifuta jasho tu,au kuna kazi nyingine kinafanyia hebu tuelimishane hapo,ili nasi tujue wapendwa!
NAWASILISHA

Kupengea kamasi, kupigia chafya, kujifuta maji baada ya kunawa mikono etc
Wewe unataka viwe na kazi gani??????????????
 
... Mara nyingi kwa wanaume si muhimu sana... waweza tumia sharti lako kufuta jasho. Lakini kwa dada zetu; kazi yake kubwa ni kukausha kausha sehemu za mwili zinazopatwa na unyevu nyevu, kama vile uso mkino n.k, na pia kwa wadada upenda kufutafuta mavumbi sehemu mbalimbali...
 
Nadhani wanaume wasio makini ndio wasiobeba "vitambaa vya mikono" wakiamini ni utamaduni uendelezwao na wanawake...
Binafsi naamini kwa mtu anayejali usafi, ni vyema kuwa na utaratibu wa kutembea na "kitambaa cha mkononi"...
Kuna mengi kama Kaunga alivyotabanaisha
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu na hadhi yake, kuna mdada mmoja ajidai yeye hutumia aina ya Shafoni zake kutoka Dubai husemaga hivi ati nanuaNot less thn 200$...!! sijui ana mean nini.. Wengine hutumia Vitambaa hivyo na kulinganisha na rangi na mtindo wa nguo atazovaa...yaani matching !! mmh hii mbegu hatari!!
Ni kweli ni kila mtu kwa hadhi yake na kwa uwezo wake na shopping place yake mfano leso hiyo hiyo moja kko inaweza ikauzwa buku na Mlimani city ikauzwa buku tano.Sometimes pia wengine hupenda kujishebendua waonekane matawi wakati si lolo wala chocho unaweza kukuta mdada kasuka nywele zake za yeboyebo uswazi kwao kwa buku kumi tu mwenzie akamuuliza kwa upendo umependeza sana umesuka wapi akajibu nimesuka Kinondoni hamsini elfu.
 
Nina miaka mingi sana sijamiliki leso
Tena zilikuwepo zile za mia tatu, kama taulo hivi

Ila mara nyingi nakuwa na mtandio au kanga in case fire, na mbona sitoki majasho wala sihitaji kujifuta? Unless nafanya mazoezi.
 
ni for usafi......,jasho unajifuta cos mdada kutiririka mijashoo nayo haipendezi

ni kama awp ametoa majib yoote ya msingi

Sio mdada, mtu yeyote mwenye akili timamu sidhani kama utaona ni sahihi kuacha jasho likutitirike au kukaa kwenye sehemu chafu.

Huyo aliyeanzisha mada ni dizain ya binadamu wanaoamini ili uonekane mwanaume basi inalazimu uwe mchafu mchafu usiyejijali [Angalizo ni jina lake: Faru dume yaani anaamini dumeism ni u-rafurafu]. Mijino ya njano yenye ukoko, sura imejaa machunusi, misikio ina nta zinachungulia km mzinga ulio tayari kugemwa n.k

Inasikitisha mtu anayejua kusoma na kuandika, akafika mbali zaidi kiasi cha kuweza kutumia mtandao halafu aulize LESO YA NINI?!! Mkewe yaelekea ana shida sana, ndio hii yenye chupi moja tu, ikifua usiku inaweka mbele ya feni.......pambaf zake! Eti jinsia ME sio sana, HOVYOOOO labda ME wa ukoo wenu ndio hawabebi leso.
 
Last edited by a moderator:
Nina miaka mingi sana sijamiliki leso
Tena zilikuwepo zile za mia tatu, kama taulo hivi

Ila mara nyingi nakuwa na mtandio au kanga in case fire, na mbona sitoki majasho wala sihitaji kujifuta? Unless nafanya mazoezi.

Tehe tehe tehe....mkuu Kongosho, jasho halimtoki mtu unless ameoga. We ngoja siku uoge vinyweleo vizibuke kama hukuniPM nikuletee leso
 
Last edited by a moderator:
ni kwa jili ya usafi wa kawaida, jasho, mafua, tukihisi nguo inavumbi tunafuta n.k hizo leso zingine hazionekani hadharani ni maalumu kwa seemu maalumu na ni tofauti za hizo. wengine wanakuja utapata majibu

Aaah! mkubwa acha kutuzuga bwana, kweli kazi ni hiyo tu? :msela:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom