Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

Kwa kusoma hoja yako, you should be under 18 au uwezo wako wa uelewa ni ndogo. Hatusupport chama kwamba kitaondoa umasikini ila ni usimamiaji na utekelezaji bora wa mipango na mikakati kwa maendeleo ya taifa
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
 
Niko likizo lakini nimeona nikusaidie.Kabla hujaandika hii mada yako,nafsini mwako ulijua utapata majibu gani.Lakini kwa kuwa ww ni mjeuri hata kwa dhamira yako,utapata majibu yatakayoifedhehesha sana nafsi yako.Hapa sio mahala pa mizaha na upuuzi.Sema nimekutukana
 
Huyu mlemavu wa akili/kilaza hana issue kabisa halafu wanafiki kama hawa huanza na kuandika oooh mie sio mshabiki wa chama chochote cha saisa sasa kama wewe sio mshabiki wa chama cha siasa mbona hii issue yako kama imeegemea kule kwa Magamba wateka nyara.kajipange then uje tena kilaza mkubwa wewe
 
hofu yangu mkuu ni kuwa chama kinajengwa na wanachama! kama wanachama wapo hovyo hovyo ni dhahiri chama kitakuwa cha hovyo hovyo!!!

umeona majibu ya magamba kama kina zomba na wengineo? kwa kufuata your line of thinking, CCM ni ya ovyo na imekufa
 
ndo majibu yenu haya yaani hapa hakuna hoja wala jibu lolote la kuonyesha ukomavu wa kisiasa ila ni matusi!!! hivi ndo mtatuongoza kwa mtindo huo? wananchi wategemee nini toka kwenu poleni

umesahau ya lusinde?
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................

Aisee ee! Mbona tayari UNAGAMBA
 
Sijui kama watakuelewa sijui ni jazba au nini,lakini watu hawa wakipewa jukumu la kuongoza nchi mambo yote wanayo yafanya wakifanyiwa wao itakuwaje?mimi sipendi watu wote wanao jihusisha na ubadhilifu lakini vita wanayo ianzisha haina mashiko kwani kuna uwezekano mkubwa wakawasomba watu wale wale tusio wataka kwenye chama chao waache kudharau mawazo ya wengine,waache kutukana wanao tofautiana nao kimawazo kwani nao pia ni wapiga kura watii sheria za nchi kwasababu hata wao wakishika dola watatakiwa kulinda sheria.na hao vijana wana matarajio makubwa kutokana na ama kubanwa na hali ngumu ya maisha au kuzuiwa na dola kufanya uhalifu hao ndio hasa wanao shawishika kufanya vurugu.
 
watu wana hasira sana na uongozi mbovu wa magamba kwa hiyo ukija hapa kutetea magamba au kukejeli M4C lazima uchezee kichapo cha lugha kali wala si matusi.
sitetei ila nataka watengeneze chama ambacho kina uwezo wa kujenga hoja na kuliongoza taifa letu kwa kureason sio kwa matusi
 
Mkuu kama huitaki CDM wananchi wanaitaka, ninyi endeleeni na ufisadi wenu utawatokea puani siku moja, wala usijifanye kuwa hauko kwenye Chama Cha Mabwepande wakati hoja zako zina sifa zote za u-Magamba!
sina haja ya kukulazimisha mimi kuwa mimi si gamba ila kwa ujumla ninachokubali ni kuwa umefika wakati ambapo ccm lazima waachie ngazi!
lakini chadema mtakopokuwa na majibu ya mtindo wenu hapatakuwa na jipya lolote
 
zema21 uwezo wako wa kuchambua mambo ya siasa ya nchi hii ni mdogo mno, ni bora ukakaa pembeni kama mimi ukabakia kushuhudia CCM ikiingia kaburini. kufanya hivyo hutakuwa umefanya kosa.
sichambui siasa wala sifanyi siasa hapa hata kitaaluma mimi sijasomea siasa ila hoja ninayojenga inatokana na hali halisi
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................

Mpaka hapo tushajua wewe chama gani........just vua gamba hilo
 
the issue is,ulivyoleta jambo hili hujaweka hoja za msingi zaidi ya malalamishi na kaejeli na kwasababu ulishaweka imani kuwa CDM na wewe ni tofauti.sasa basi
wewe ungekuwa unaweza kuuliza kwa hiekima na busara ningejetahid nijibu hizo hoja zenye hekima na busara,wewe endelea kuamini unachokiamini,na hakika na kwambia,wana heri hao vijana wanaoamini kuwa chadema ni msaada kwao kuluko wewe ambaye unagombana na hisia zako,ukijidanganya sio mshabiki na wala huhusiki na siasa wakati sio kweli.

Mkuu kama huitaki CDM wananchi wanaitaka, ninyi endeleeni na ufisadi wenu utawatokea puani siku moja, wala usijifanye kuwa hauko kwenye Chama Cha Mabwepande wakati hoja zako zina sifa zote za u-Magamba!
sio sitaki cdm sitaki matusi
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................

Kwani nchi itapewa kwa mashibiki? unaelewa dhana ya wembe ule ule? ukiongea upuuzi unajibiwa upuuzi? hasa hapa. hakuna muda wa kuachia agenda mfu zisambae. halafu hapa hakuna mtu ametumwa na chadema, kwa mfano mimi sio mwanachama wa chadema, lakini siwezi kuona ujinga unawekwa hapa nikaupuuzia, sababu najua ujinga huwa unaaminika zaidi hasa kama hakuna taarifa tofauti. nadhani wewe ndio unatakiwa kujirekebisha.
 
sio sitaki cdm sitaki matusi

Nani katukana, aina ya majibu unayoyaita ni matusi huwa ni, "gamba hilo", "gamba at work". Mwenywekiti wao mwenyewe alisema wanamagamba sasa kwa nini wasiitwe kwa jina lao?
 
Back
Top Bottom