Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................

Mkuu,
nakuhurumia sana! Hao hawashauriki, jiandae kutukanwa tu kwa kuanzisha thread hii.

Kuna watu wanadanganyika kuwa watu wa namna hii wakipewa madaraka watasikiliza matakwa ya watu!!!
 
lengo si kutafuta ushabiki au kusifiwa tujaribu kujitafakari na kukubali ukweli sio mkikosolewa mnakuja juu na matusi...
kuweni wenye hekima na busara japo kidogo unapokosea kubali umekosea sio unalazimisha watu wakukubalie kwa lugha kali!
kwanza hata mnavyochangia hii thread mnadhihirisha jinsi thread yangu unaukweli manake lugha mlizojibia hazina mashiko hata kidogo


Nasikia harufu ya GAMBA GUMUUU!.
 
mh! Hili gamba!,.. Kwa hiyo wewe ni dc au mwenyekiti ya serikali ya mtaa?!!!!.. Mwanasiasa siyo shehe wala mchungaji hata awe na majibu ya kuwapeleka watu peponi?!... Kuna mahali pa kukemea ujinga ili ujinga huo umtoke mjinga,.. Lugha ya mwanasiasa ni lazima ibadilike kulingana na mazingira,.. Unataka tumjibuje anayeleta ukabila, udini na kejeli za kipuuzi? Mbona hao wanaofanya hivyo wewe huwakemei?! Hayo ndiyo majibu wanayotakiwa kujibiwa wale wote wanaosingizia kuwa si wanasiasa wakati hoja zao zinatetea magamba!!!..
sina umagamba wowote ila nasimama penye ukweli popote iwe ni magamba nitawapa za uso na cdm pia sitawaficha lolote katika hili mmeingia choo cha.............. Kubalini
 

Kaka this is too much......busara japo kidogo itumike hata kama mtu ameandika UTUMBO, sifikiri kama ni busara kumjibu namna hiyo....Samahani kama nimekukwanza, NAOGOPA KWELI KUITWA JUHA......namkumbuka MFALME JUHA. Siyo kweli kwenye thread yake hakuna hata moja la maana, yapo machache ya kuyafanyia kazi. Ni kweli, baadhi ya WASHABIKI wa CDM wamekuwa wakitukana au kutoa lugha ya dharau punde inapotokea CHALLENGE au criticism. Nashauri tubadilike, tutoe majibu yenye busara hata kwa maswali mabovu ili muulizaji au mtoa hoja ajione MJINGA, vinginevyo tutajipa matumaini lakini mwisho wa siku WASHABIKI watatuharibia, japo mashabiki hawakiathiri chama DIRECTLY, but all of us we are seen as if we dont spend a minute to think before we talk.
NI MTAZAMO TU.

.......ACHA KUTETEA UPUUZI.... unajishushia CV's zako...
 
Ni wewe mwenyewe au GIGI ndiye kalewa?.

Ninyi ndio vilaza mnao ongezeka kwa kasi na kushushia heshima jukwaa letu tukufu.
Mleta thread anapinga lugha za matusi,afu wewe unaishia kutukana!
Bila shaka umelewa wewe.
 
hofu yangu mkuu ni kuwa chama kinajengwa na wanachama! kama wanachama wapo hovyo hovyo ni dhahiri chama kitakuwa cha hovyo hovyo!!!
Ni kweli chama kinajengwa nawanachama, lakini kinaongozwa na sera ambazo, kama zikiwa makini, zinapaswa kwua na uwezo wa kuchuja hao wanachama hovyohovyo.

Lakini, hivi unadhani wote wanaoandika hapa kuitetea Chadema ni wanachama wa Chadema? Wengine (tena wengi) ni washabiki tu
 
Ni kweli chama kinajengwa nawanachama, lakini kinaongozwa na sera ambazo, kama zikiwa makini, zinapaswa kwua na uwezo wa kuchuja hao wanachama hovyohovyo. Lakini, hivi unadhani wote wanaoandika hapa kuitetea Chadema ni wanachama wa Chadema? Wengine (tena wengi) ni washabiki tu
unanitia moyo mkuu kwa majibu yako
 
wewe unaumwa mavi nini?najua wewe ni vccm ambaye umechua fomu unatakugombea uongozi fulani,gombea salama na sio kuwachalenji watu.
 
Nawashangaa wanaotetea chama cha msimu CDM!

Chama cha msimu huwa kina exist kwa muda gani? Ni kigezo gani kinachoruhusu chama kuwa cha msimu au cha kudumu??
 
watu wana hasira sana na uongozi mbovu wa magamba kwa hiyo ukija hapa kutetea magamba au kukejeli M4C lazima uchezee kichapo cha lugha kali wala si matusi.
 
Nyie ingilieni movement zetu tu! Mnauliza utumbo! Mnataka mjibiwe maini!
 
jaribuni kujenga hoja katika majibu yenu!!!!!!! hv ukiwa unaoga akaja chizi na kuchukua nguo zako akakimbia nazo utamkimbiza!?
nani atakayeonekana chizi zaidi?
kama mtu akianzasha utumbo mjibu kwa hoja ili ajione yeye mjinga

Kujenga hoja pasipo na hoja ndio uchizi wenyewe!
 
Ni maajabu makubwa kwenye mtandao kama huu wa great thinkers kuwepo kwa kauli zisizo na busara,lakini siojambo la kushangaza vijana wengi hukulupukia siasa nakushabikia vyama nakujisahau kuficha hulka zao,naamini lugha chafu ni hulka ya mtu mjinga mwenyewe
 
ndo majibu yenu haya yaani hapa hakuna hoja wala jibu lolote la kuonyesha ukomavu wa kisiasa ila ni matusi!!! hivi ndo mtatuongoza kwa mtindo huo? wananchi wategemee nini toka kwenu poleni
How did u prove that everyone who is posting here is pro Chadema? What if others are green snakes in green grasses?

This is a free forum with people of different colors so t is difficult to say that this is pro Cdm or their counterparts!.......
 
Mtu kama huyu unaweza kweli kumkabidhi wizara.
Sasa mkuu kama hawezi kukabidhiwa wizara we waumia nini? Mwache akose wizara ili wewe ufurahi..... Otherwise u jus declare ua interest rather than chasing a ghost......and u will never catch it!!
 
Back
Top Bottom