Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

JF ina majukwaa mengi sana, angalia jukwaa ambako post yako ita-fit
lengo si kutafuta ushabiki au kusifiwa tujaribu kujitafakari na kukubali ukweli sio mkikosolewa mnakuja juu na matusi...

kuweni wenye hekima na busara japo kidogo unapokosea kubali umekosea sio unalazimisha watu wakukubalie kwa lugha kali!

kwanza hata mnavyochangia hii thread mnadhihirisha jinsi thread yangu unaukweli manake lugha mlizojibia hazina mashiko hata kidogo
 
wote wangekuwa kama wewe lingekuwa jambo la heri!!

ikumbukwe kuwa tunahitaji kuikomboa Tanzania...Tulidhani mkombozi wa Tanzania ni chadema lakini matumaini kwangu yanapotea kabisaaa
sasa tunabaki kama watoto yatima.....
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
namalizia kabisa .......we pumba kabisa na gamba gumu that why umejifanya kudeclare interest mapema kumbe gamba. CDM haitakuja kuwa na ma RC au DC MIA. kila nafasi ya uongozi wa watu lzm itokane na kura za wananchi.
 
hofu yangu mkuu ni kuwa chama kinajengwa na wanachama! kama wanachama wapo hovyo hovyo ni dhahiri chama kitakuwa cha hovyo hovyo!!!

kama ilivyo kwa ccm dhaifu, mwenyekiti dhaifu na wanachama wake dhaifu.
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................

Wewe vipi? bado unaamini 2015 tutakuwa na MaDC. Unaishui wapi wewe hufuatilii upepo wa Kisisa. Unafikiria ulaji tu si kuwakombo watz. maskini!
 
Kaka this is too much......busara japo kidogo itumike hata kama mtu ameandika UTUMBO, sifikiri kama ni busara kumjibu namna hiyo....Samahani kama nimekukwanza, NAOGOPA KWELI KUITWA JUHA......namkumbuka MFALME JUHA. Siyo kweli kwenye thread yake hakuna hata moja la maana, yapo machache ya kuyafanyia kazi. Ni kweli, baadhi ya WASHABIKI wa CDM wamekuwa wakitukana au kutoa lugha ya dharau punde inapotokea CHALLENGE au criticism. Nashauri tubadilike, tutoe majibu yenye busara hata kwa maswali mabovu ili muulizaji au mtoa hoja ajione MJINGA, vinginevyo tutajipa matumaini lakini mwisho wa siku WASHABIKI watatuharibia, japo mashabiki hawakiathiri chama DIRECTLY, but all of us we are seen as if we dont spend a minute to think before we talk.
NI MTAZAMO TU.
point mkuu hilo ndo swala ambalo linatakiwa lifanyiwe kazi ili kuonyesha utofauti
 
Bado una hamu nao tu?hivi kwa akili yako cdm wazima? Hayo ndio majibu yao na bado watakushambulia kama mchwa ngoja uone hapa
 
Wewe vipi? bado unaamini 2015 tutakuwa na MaDC. Unaishui wapi wewe hufuatilii upepo wa Kisisa. Unafikiria ulaji tu si kuwakombo watz. maskini!
unamaanisha nini kwenye rangi?
 
namalizia kabisa .......we pumba kabisa na gamba gumu that why umejifanya kudeclare interest mapema kumbe gamba. CDM haitakuja kuwa na ma RC au DC MIA. kila nafasi ya uongozi wa watu lzm itokane na kura za wananchi.
mmh jibu hoja mkuu achana na porojo za kejeli!
watanzania wanahitaji ukombozi wa kweli na si kejeli na matusi!

Kumbuka uhuru hauji siku moja bado uhuru wa Tanzania unahitajika na mkombozi wa kuuleta bado hajapatikana
 
Eti mtoa hoja hivi akitokea mtu amekuja nyumban kwako na kukwambia mkeo ni mjinga, kichaa n..je wewe utamjibuje? kimeo k
 
sigara gani umevuta mchana huu we juha? Acha mawazo ya pombe.

Nyambaff...........!

Ninyi ndio vilaza mnao ongezeka kwa kasi na kushushia heshima jukwaa letu tukufu.
Mleta thread anapinga lugha za matusi,afu wewe unaishia kutukana!
Bila shaka umelewa wewe.
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................

Kweli hili tatizo lipo sana hapa jamvini.
Hoja hujibiwa kwa hoja,na kwa thread zisizo maana au hoja dawa ni kuzipuuza au kuzijibu kwa hoja!
Tusipende kujivua nguo jamani!
 
Ndugu yangu ulioanzisha huu uzi Pro-Chadema wengi ni wafuata mkumbo tu na kazi yao kubwa ni kejeli na dharau mfano wanavyokujibu wewe...halafu umewapa thamani sana kuwambia Madc watatoka humo hakuna kitu hao wote wanatumika kama dodoki tu wakati wa maandamano.
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................

Mh! hili GAMBA!,.. Kwa hiyo wewe ni DC au mwenyekiti ya serikali ya mtaa?!!!!.. Mwanasiasa siyo shehe wala mchungaji hata awe na majibu ya kuwapeleka watu peponi?!...

Kuna mahali pa kukemea ujinga ili ujinga huo umtoke mjinga,.. Lugha ya mwanasiasa ni lazima ibadilike kulingana na mazingira,.. Unataka tumjibuje anayeleta ukabila, udini na kejeli za kipuuzi?

Mbona hao wanaofanya hivyo wewe huwakemei?! Hayo ndiyo majibu wanayotakiwa kujibiwa wale wote wanaosingizia kuwa si wanasiasa wakati hoja zao zinatetea magamba!!!..
 
Back
Top Bottom