Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Hiki hapa
1.jpg
 
Ujamaa, Nyerere. J. K. Kimenifanya kuyaelewa japo kwa mbali mawazo na mtazamo wa Nyerere mmoja ya watu wachache nisio elewa mitazamo yao.

Tafuta the Populist Idea sikumbuki author vizuri ili upate counter issues za ujamaa hakika utakuwa uko poa sana.
 
The secret of millionaires mind,richdad poor dad,richest man in Babylon,the magic of thinking big,think and grow rich,the monk who sold his Ferrari hivi ndo naona viliniifanya nibadili uelekeo wa maisha yangu.na vingine vingi too bad naona npo nyuma ya malengo mwaka huu ya kusoma vitabu 20 na ndo kwanza nipo cha NNE,mwaka Jana nlitimiza malengo
 
Yawezekana una implement uliyoyasoma so muda unaanza kubana mkuu,si unajua siku ina masaa 24 tu so kila unapooongeza mambo ya muhimu basi siku inapungua urefu relatively!!!!!

Sasa hapo ni u turn point acha mengi yasiyo tija ili ku accommodate mabadiliko chanya!!!!
Ikiwezekana punguza masaa ya kulala kwa siku japo tatu in a week!!!!
 
Back
Top Bottom