Tongue blister
JF-Expert Member
- Jun 19, 2009
- 362
- 11
ningependa sana mkuu lakini naogopa kuwa kwanza nitakuwa naiba kazi ya mwandishi bila ridhaa, pia kutype kitabu chenye kurasa zaidi ya 120 kinachoelezea maisha ya hayati wangwe toka utotoni, shuleni, kufanya kazi, harakati zake kisiasa, hadi kuwa mbunge n.k ni mzigo mkubwa ambao unaweza sababisha niache muda wangu mwingi wa kazi na naweza hatarisha hata kibarua changu.
Kimsingi ni kitabu kizuri sana na kina mambo mengi sana tunayoweza kujifunza kama watanzania.
Awali sikuwahi kujua kama chacha wangwe alikuwa rasta man, cover la kitabu hicho kimepambwa na picha kubwa ya enzi akiwa na rasta ndefu hadi kiunoni.
Msambazaji yuko hapahapa dar, mtafute kwa 0763 632008 na waweza pata nakala yako.
wewe kama utakuwa mwanaume basi kwa wakati huu utakuwa umeanza kuota vimatiti kama kabinti ka miaka 13.
umbea gani wa kutuletea hapa...kama kitabu kipo mitaani wacha tutasoma huko sio unatuletea kopi zako hapa..
kalete mkataba wa kumilikishwa ardhi waarabu kule loliondo.
fyiiiiiiii funnnnnnnnnny...!!! Mnafiki mkubwa wewe...!!!!!