Kitabu cha Wangwe chaanika ukweli tunaotakiwa kuujua

Ni ujinga kuanzisha tena huu mjadala ukidhana kuwa utakirudisha hiki chama CDM nyuma. Kama CCM ingekuwa imejitahidi kuzishughulikia kero za wananchi wala isingekuwepo haja ya kurudi na huu upuuzi hapa leo hii.

Wewe mwenye kukipenda sana CCM umeweza kutueleza au kujibu maswali mengi sana ambayo yameshindwa kujibiwa na CCM na serikali yake? Fedha za EPA na kesi za EPA, MEREMETA, DEEP GREEN, UNUNUZI WA RADAR, MIKATABA YA KUZALISHA UMEME NK. NK unayo majibu yake yanayoweza kuwaridhisha wananchi?

Usizibe watu mawazo hapa kwa kuibua upuuzi huu hapa leo kana kwamba tumesahau Mkuu, hiyo ilikuwa inafanya kazi zamani kwa CCM siyo leo tena. Tafadhali badilika kwa ajili ya maendeleo ya taifa lako.

anzisha kwanza au tuanzishe mjadala juu ya kifo

(1) Amrani Kombe
(2) Harace Kolimba(CCM watueleze vizuri maana wao ndio waliomutia kumhoji Dodoma na akafariki usiku huo huo)
(3) Sokoine
(5) Mkemia mkuu aliesema mchele mbovu enzi za mwinyi nk
(6) JK Nyerere alipopnga uuzaji holela wa mali za taifa mauti ...............

CCM watueleze vizuri maana wao ndio................
 
Hivi nyie mmeshawahi kufikiria kuhusu M/kiti wa chama (haswa mtu mwenye hulka za Mbowe) kua waziri tu na Rais wa nchi kua mwanachama wa kawaida au kiongozi mwingine yeyote asiyekua Mbowe? fikirieni zaidi, CCM siyo wajinga kumweka M/kiti kua Rais wa nchi, Nyerere aliona mbali, na nyie mnaingizwa kwenye mtego, Mbowe alikua M/kiti kwa sababu tunazijua halafu akagombania Urais akashindwa vibaya..sasa kaona vichwa vingine anataka kuwatumia kuiingiza CDM madarakani huku yeye akibaki kama M/kiti na akihodhi madaraka yote kichama (kama hiki kitabu kinavyosema)...
 
All the same, but CCM must go! They say in English: 'between the two evils, choose the least'! So whatever CCM says, it has no excuse. So long a time, you have disregarded us and denayed us proper opportunities! CDM might be an evil yes, but it is a lesser evil compared to you, Satan! Go, and we no longer need to see/hear you!!! Shwain!!!!!!!!!!!!!!!!!


They say in English-Its better to deal with the evil you know, than the evil you dont know.
 
" Kuna mila ya kichagga kuwa, katika eneo la kazi/biashara, ukimuona anayekusababisha ukose maslahi Fulani unatakiwa kumuondoa kwa gharama yoyote! Na hili ndilo lililojiri kwangu na mwenyekiti wangu"
Duh... hiyo mila sect gani ya kichaga au ndio kuingia ktk conspiracy theory humo....kuna mambo huwa makabila mengine wanayakuza km vile wachaga ni waku hatari sana, ni super heroes.The issue ni kuwa wanajituma tuu na mwishowe kujifunza on the way.
Wakati nyinyi mkiwa mabingwa wa hizi theories... huwa wachaga hawapendi maneno mengi halafu wakabaki stationery ndio maana mnaishia kuongea mengi mpaka hamjui lipi la ku implement na lipi la kuacha.

Muache danganya wengine. Bado mzee mtei alikuwa sahihi sasa na atabaki kuwa sahihi... asingeweza peleka chama hapo kilipo kwa kutumia watu wa namna fulani, wanahofu makabila ya watu, wanahofu watu wa dini fulani, au rangi fulani, wana malengo mafupi kiasi cha kuwekeza ktk fujo huko chombo kipo ktk mawimbi.Asingemaliza migogoro ndani ya chama kwa kuwa na watu km akina Rage, na Ndolanga, na Mzirai (marehemu) na vile vizee pale yanga na mamluki km Mbatia+ wengine waliovunja NCCR Mageuzi.Mbowe kaprove right.KILA MTU KIJANA NA MTOTO HAKUNA KITU ANAJIVUNIA KUHUSU CDM.

NDIO MAANA CDM NI UNPREDICTABLE KWA CCM,NA SASA CDM IS OUT OF THE BOTTLE.Sasa hata akina mbowe wakichemsha ila wasijiuze kwani watanzania watawala kwa Meno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom