Kitabu cha the Dhammapada kina mafunzo ya kibabe kuhusu maisha

mbn kipo

hekima inaonekana. na vijana kukaa na wazee sindio yale mambo ya wajapani yanatokea kuna mengi inaonyesha umeficha hapa.
mbona kila kitu kiko hapa?

mkishasoma vya watu wa india mnachanganyikiwa na kuamini amna Mungu na vya wenyeji au wazawa wa nchi mnayoishi mnaviruka tokeni kwenye hiyo MENTAL SLAVERY

Kwenye hicho kitabu hakuna mambo ya Mungu kisome utajifunza kitu
 
Kwa experience yako nakubaliana na wewe asilimia 85... nilishawahi kufanya forex nikafail vibaya sababu ya greed, pia deal au michongo yangu mingi mikubwa ilibuma sababu ya kuwa na kitete sikutuliza akili..
Deals zote nilizofanya basi tu ndio zilikuwa zinatick.

Mm mwenyewe aisee haya mambo kila ukiangalia hauna wa kumlaumu ila wewe mwenyewe
 
Hiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.

Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.

Kwa maongezi yaliyoongozwa na aya za hiki kitabu.

Nyumbani kuna wakati walikuwa hawaelewi Buddhism ni nini, wakawa wanaona kama uchawi (wao ni Wakristo sana, wengine walokoke).

Sasa kuna Auntie yangu mmoja akakikuta hiki kitabu nakisoma, akakisoma kidogo tu.

Akasema hiki kitabu unachokisoma ni kizuri sana, kina mafundiaho mazuri sana, na sasa ninaelewa kwa nini unapenda kwenda Buddhist Temple.

Walikuwa kama wanapinga mimi kwenda Temple, lakini baada ya kusoma Dhammapada, walinielewa sana.
Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.😀
 
Hiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.

Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.

Kwa maongezi yaliyoongozwa na aya za hiki kitabu.

Nyumbani kuna wakati walikuwa hawaelewi Buddhism ni nini, wakawa wanaona kama uchawi (wao ni Wakristo sana, wengine walokoke).

Sasa kuna Auntie yangu mmoja akakikuta hiki kitabu nakisoma, akakisoma kidogo tu.

Akasema hiki kitabu unachokisoma ni kizuri sana, kina mafundiaho mazuri sana, na sasa ninaelewa kwa nini unapenda kwenda Buddhist Temple.

Walikuwa kama wanapinga mimi kwenda Temple, lakini baada ya kusoma Dhammapada, walinielewa sana.
Hawakujua ya kwamba wewe ni Mpagani?!
 
ila ungefanya jambo jema kwa kushare hapa soft copy utakuwa umesaidia wengi kiukweli na kututimiza moja ya matendo ya wema kutokana na ulicho jifunza mkuu🙏

Kama kweli unataka kusoma kitabu huwez kushindwa kutuma ujumbe pm utumiwe ujumbe maana kitabu unaweza kiweka hapo na watu wasikichukue natuma free of charge
 
Hiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.

Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.

Kwa maongezi yaliyoongozwa na aya za hiki kitabu.

Nyumbani kuna wakati walikuwa hawaelewi Buddhism ni nini, wakawa wanaona kama uchawi (wao ni Wakristo sana, wengine walokoke).

Sasa kuna Auntie yangu mmoja akakikuta hiki kitabu nakisoma, akakisoma kidogo tu.

Akasema hiki kitabu unachokisoma ni kizuri sana, kina mafundiaho mazuri sana, na sasa ninaelewa kwa nini unapenda kwenda Buddhist Temple.

Walikuwa kama wanapinga mimi kwenda Temple, lakini baada ya kusoma Dhammapada, walinielewa sana.
Mkuu weka soft copy

Tupate madini
 
Mkuu weka soft copy

Tupate madini
Nimeweka library nzima hapa.

Back
Top Bottom