Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 471
- 775
- Thread starter
- #41
Pale ni bure tu.
Sawa kesho nitaenda ni pale pale karibu na fire kwenye ghorofa la vijana?
Pale ni bure tu.
Kinahusu mambo mbalimbali ila kama wewe ni mtu wa dini sidhani kama kitakufaa
Ukiwa Dar watafute. Buddhist Temple ipo Upanga Dar kama unaenda Muhimbili Hospital, kona ya Mindu St na Maliki St.Hongera Mkuu.
Hard copy inapatikana?
Kwa njia gani?
Sawasawa DINI ni uhuni tuendelee kukitafuta kitabu Cha wafu maana wajanja wamekifichaa!Ooh mm sifungamani na dini yoyote i want best version of my self
Ukiwa Dar watafute. Budhist Temple ipo Upanga Dar kama unaenda Muhimbili Hospital, kona ya Mindu St na Maliki St.
Karibu na Msikiti wa Tambaza, karibu na Shule ya Msingi Muhimbili.
Sawasawa DINI ni uhuni tuendelee kukitafuta kitabu Cha wafu maana wajanja wamekifichaa!
Kwa udhamini wa AI 😄😄Mifano ya aya maarufu zaidi kutoka katika kitabu cha Dhammapada, zilizotafsiriwa kwa Kiswahili kutoka katika matoleo ya lugha ya Pali na Kiingereza.
1. Aya za Mapacha (Yamaka Vagga) — Kuhusu Nguvu ya Akili
hizi mbili za kwanza ndizo msingi wa falsafa nzima ya Ubudha, zikionyesha kuwa maisha yetu ni zao la fikra zetu:
Aya ya 1:
"Akili ndiyo inayotangulia mambo yote ya kiakili. Akili ndiyo kiongozi wao; yote yametengenezwa kwa akili. Mtu akiongea au kutenda kwa akili iliyochafuliwa (mawazo mabaya), mateso yanamfuata nyuma yake, kama vile gurudumu la mkokoteni linavyofuata nyayo za ng'ombe anayevuta."
Aya ya 2:
"Akili ndiyo inayotangulia mambo yote ya kiakili. Akili ndiyo kiongozi wao; yote yametengenezwa kwa akili. Mtu akiongea au kutenda kwa akili safi (mawazo mema), furaha inamfuata nyuma yake, kama kivuli chake ambacho hakitengani naye kamwe."
2. Aya ya 5 — Kushinda Chuki kwa Upendo
Hii ni moja ya aya zinazotajwa zaidi ulimwenguni kuhusu amani na maridhiano:
Aya ya 5:
"Katika ulimwengu huu, chuki haiondolewi kwa chuki wakati wowote. Chuki huondolewa kwa kutokuwepo chuki (kwa upendo na wema pekee). Hii ni sheria ya milele."
3. Aya ya 103 — Ushindi wa Kweli wa Nafsi
Aya hii inafundisha kuwa adui mkubwa wa mwanadamu si mtu mwingine, bali ni udhaifu wake mwenyewe:
Aya ya 103:
"Hata kama mtu angeshinda watu elfu elfu katika uwanja wa vita, yeye aliyeshinda nafsi yake mwenyewe, ndiye mshindi mkuu zaidi wa vita vyote."
4. Aya ya 183 — Muhtasari wa Mafundisho ya Buddha
Wabudha wengi huiona aya hii kama jibu fupi la swali "Ubudha ni nini?"
Aya ya 183:
"Kuepuka kufanya ubaya wa aina yoyote, kutenda mema, na kuisafisha akili yako mwenyewe—huu ndio ushauri na mafundisho ya ma-Buddha wote."
5. Aya ya 223 — Jinsi ya Kushinda Tabia Hasi
Aya hii kutoka katika Sura ya Hasira (Kodha Vagga) inatoa mbinu ya kivitendo ya kukabiliana na changamoto za kijamii:
Aya ya 223:
"Mshinde mwenye hasira kwa utulivu; mshinde mtu mbaya kwa wema. Mshinde mchoyo kwa ukarimu, na mshinde mwongo kwa ukweli."
Kwa udhamini wa AI 😄😄
OkayKwa udhamini wa AI 😄😄
tuma humu kwa commentMm nina soft copy tu nichek nikutumie utaenda kukitoa copy
Naomba soft copy boss kubwaNimesoma kitabu Treasury of Truth: The Dhammapada, kinachohusishwa na mafundisho ya Buddha, na kuna jambo limenivutia: adui mkubwa wa mwanadamu wakati mwingine ni akili yake mwenyewe.
Kitabu hiki kinafundisha kuhusu kudhibiti mawazo, hasira, tamaa, kuacha chuki, kujitawala na kuelewa kwamba kila tendo lina matokeo.
Kinakufanya ujiulize: Je, tunaumia zaidi kwa sababu ya mazingira yetu au kwa sababu ya namna tunavyofikiri na kuitikia mambo yanayotupata?
Swali kwa wanaJF: Ni kweli kwamba mtu akijifunza kuitawala akili yake, tamaa na hisia zake anaweza kubadilisha maisha yake kwa kiwango kikubwa? Au mazingira yana nguvu kuliko uwezo wa mtu kujitawala?
NB anae taka kitabu aje PM free tu nitakituma
Can I get it brotha!Ooh mm sifungamani na dini yoyote i want best version of my self
Shukran mkuu ungeweka hapa basi au ndio mpaka upenuni
SawaPm tu natuma free tu nitumie ujumbe
Hiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.Mifano ya aya maarufu zaidi kutoka katika kitabu cha Dhammapada, zilizotafsiriwa kwa Kiswahili kutoka katika matoleo ya lugha ya Pali na Kiingereza.
1. Aya za Mapacha (Yamaka Vagga) — Kuhusu Nguvu ya Akili
hizi mbili za kwanza ndizo msingi wa falsafa nzima ya Ubudha, zikionyesha kuwa maisha yetu ni zao la fikra zetu:
Aya ya 1:
"Akili ndiyo inayotangulia mambo yote ya kiakili. Akili ndiyo kiongozi wao; yote yametengenezwa kwa akili. Mtu akiongea au kutenda kwa akili iliyochafuliwa (mawazo mabaya), mateso yanamfuata nyuma yake, kama vile gurudumu la mkokoteni linavyofuata nyayo za ng'ombe anayevuta."
Aya ya 2:
"Akili ndiyo inayotangulia mambo yote ya kiakili. Akili ndiyo kiongozi wao; yote yametengenezwa kwa akili. Mtu akiongea au kutenda kwa akili safi (mawazo mema), furaha inamfuata nyuma yake, kama kivuli chake ambacho hakitengani naye kamwe."
2. Aya ya 5 — Kushinda Chuki kwa Upendo
Hii ni moja ya aya zinazotajwa zaidi ulimwenguni kuhusu amani na maridhiano:
Aya ya 5:
"Katika ulimwengu huu, chuki haiondolewi kwa chuki wakati wowote. Chuki huondolewa kwa kutokuwepo chuki (kwa upendo na wema pekee). Hii ni sheria ya milele."
3. Aya ya 103 — Ushindi wa Kweli wa Nafsi
Aya hii inafundisha kuwa adui mkubwa wa mwanadamu si mtu mwingine, bali ni udhaifu wake mwenyewe:
Aya ya 103:
"Hata kama mtu angeshinda watu elfu elfu katika uwanja wa vita, yeye aliyeshinda nafsi yake mwenyewe, ndiye mshindi mkuu zaidi wa vita vyote."
4. Aya ya 183 — Muhtasari wa Mafundisho ya Buddha
Wabudha wengi huiona aya hii kama jibu fupi la swali "Ubudha ni nini?"
Aya ya 183:
"Kuepuka kufanya ubaya wa aina yoyote, kutenda mema, na kuisafisha akili yako mwenyewe—huu ndio ushauri na mafundisho ya ma-Buddha wote."
5. Aya ya 223 — Jinsi ya Kushinda Tabia Hasi
Aya hii kutoka katika Sura ya Hasira (Kodha Vagga) inatoa mbinu ya kivitendo ya kukabiliana na changamoto za kijamii:
Aya ya 223:
"Mshinde mwenye hasira kwa utulivu; mshinde mtu mbaya kwa wema. Mshinde mchoyo kwa ukarimu, na mshinde mwongo kwa ukweli."
Hiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.
Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.
Kwa maongezi yaliyoongozwa na aya za hiki kitabu.
Nyumbani kuna wakati walikuwa hawaelewi Buddhism ni nini, wakawa wanaona kama uchawi (wao ni Wakristo sana, wengine walokoke).
Sasa kuna Auntie yangu mmoja akakikuta hiki kitabu nakisoma, akakisoma kidogo tu.
Akasema hiki kitabu unachokisoma ni kizuri sana, kina mafundiaho mazuri sana, na sasa ninaelewa kwa nini unapenda kwenda Buddhist Temple.
Walikuwa kama wanapinga mimi kwenda Temple, lakini baada ya kusoma Dhammapada, walinielewa sana.
mbn kipoSawasawa DINI ni uhuni tuendelee kukitafuta kitabu Cha wafu maana wajanja wamekifichaa!
hekima inaonekana. na vijana kukaa na wazee sindio yale mambo ya wajapani yanatokea kuna mengi inaonyesha umeficha hapa.Hiki kitabu nilikuwa nakisoma napata peace moja kubwa sanaa.
Nilikuwa nakaa na wazee wenye busara, halafu wao wananiambia mimi ni kama mzee mwenye busara kuzidi wao.
Kwa maongezi yaliyoongozwa na aya za hiki kitabu.
Nyumbani kuna wakati walikuwa hawaelewi Buddhism ni nini, wakawa wanaona kama uchawi (wao ni Wakristo sana, wengine walokoke).
Sasa kuna Auntie yangu mmoja akakikuta hiki kitabu nakisoma, akakisoma kidogo tu.
Akasema hiki kitabu unachokisoma ni kizuri sana, kina mafundiaho mazuri sana, na sasa ninaelewa kwa nini unapenda kwenda Buddhist Temple.
Walikuwa kama wanapinga mimi kwenda Temple, lakini baada ya kusoma Dhammapada, walinielewa sana.
Kwa experience yako nakubaliana na wewe asilimia 85... nilishawahi kufanya forex nikafail vibaya sababu ya greed, pia deal au michongo yangu mingi mikubwa ilibuma sababu ya kuwa na kitete sikutuliza akili..Swali kwa wanaJF: Ni kweli kwamba mtu akijifunza kuitawala akili yake, tamaa na hisia zake anaweza kubadilisha maisha yake kwa kiwango kikubwa? Au mazingira yana nguvu kuliko uwezo wa mtu kujitawala?
Kama hutojali na hakuna kizuizi kiweke hapa ili wengi zaidi wapate maarifa.Nishakutumia