Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 471
- 775
Nimesoma kitabu Treasury of Truth: The Dhammapada, kinachohusishwa na mafundisho ya Buddha, na kuna jambo limenivutia: adui mkubwa wa mwanadamu wakati mwingine ni akili yake mwenyewe.
Kitabu hiki kinafundisha kuhusu kudhibiti mawazo, hasira, tamaa, kuacha chuki, kujitawala na kuelewa kwamba kila tendo lina matokeo.
Kinakufanya ujiulize: Je, tunaumia zaidi kwa sababu ya mazingira yetu au kwa sababu ya namna tunavyofikiri na kuitikia mambo yanayotupata?
Swali kwa wanaJF: Ni kweli kwamba mtu akijifunza kuitawala akili yake, tamaa na hisia zake anaweza kubadilisha maisha yake kwa kiwango kikubwa? Au mazingira yana nguvu kuliko uwezo wa mtu kujitawala?
NB anae taka kitabu aje PM free tu nitakituma