Kiswahili v/s Kiarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiswahili v/s Kiarabu

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Ngongoseke, Mar 8, 2012.

 1. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wanajamii,najua hili ni jukwaa la waungwana naomba kuelimishwa kuhusu hili,kati ya lugha ya kiarabu na kiswahili ni ipi imecopy maneno kutoka lugha nyingne maana nimegundua lugha hizi mbili zinaingiliana kwa maneno mengi sana tena yakiwa na maana 1,ntatoa mfano baadhi tu ya maneno,au majina ya vitu,
  1,Dirisha,Dirsha,
  2,Karatasi,Kartasi
  3,Debe,Dabba,
  4,Shukrani,Shukran
  5,Ahsante, Ahsante
  6,Samaki, Samak
  7,Yaani, yaani
  8,Mustakbali-mustakbal
  9,Lugha, lugha,
  10,Madarasa,Madrasa,
  Na mengine mengi japo siwezi kuyaandika yte,hebu wajuzi nijuzeni lugha ipi imecopy kwa mwenzie,pls hili ni jukwaa la lugha kabla hujachangia naomba ufaham hilo,kama huna cha kuchangia pia ni busara kukaa kimya,nawasilisha
   
 2. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lugha ni kama globalisation process, maneno mengi mapya uingia katika lugha iwapo jamii geni ikiingia ktk nyeji. Hili waarabu kuweza kujielezea iliwabidi wakati mwingine watumie maneno yao na kama hawali hakukua na universal understanding ya hilo neno katika jamii, the big chances ni kuwa hilo litaingizwa katika vocabulary.


  Mfano hai tazama hayo maneno ya kiarabu uliyoyaweka hapo juu mengi ni vitu ambavyo havikuweko wakati wa ujio wa mwarabu (najua tulikuwa na samaki majini maana watu wengine humu), kwa maana hiyo kuvitambulisha vile vilivyokuwa kwao ktk jamii yetu iliwalazimu kutumia lugha yao.


  Ni swali zuri sana mkuu na lenye lengo la kutaka kujua ni asilimia ngapi ya lugha yetu ina kiarabu, kidhungu, kijerumani na kiindi, since hizi lugha zimeanza zamani swala la msingi tukishatoa makupe ya lugha geni ambazo kuu ni hizo nne. Tunabaki na asilimia ngapi yenye maneno ya kibantu na kilugha kipi cha kibantu kimechangia kwa maneno mengi.


  Hapo yatafuata masuala mengi sana mfano kwanini kilugha flani kimeweza changia maneno mengi hiwapo zama hizo kulikuwa na mapori (what were the causes of assimilations: trades, wars and invasions, kingdoms....). Ni maswala na maswali meeengi mno na yatakayotuwezesha ichamuba historia yetu kupitia lugha. Mfano 'umlungu' lina maana ya kuwa ni 'mzungu' in Afriikanas. Sasa tujiulize since the white settlers started from the south in sub-sahara afrika, how did the world mzungu appeared in swahili ni maswali meengi ya kjitambua kutumia lugha matter of fact mzungu anatumia lugha kama hitimisho la kujitambulisha ualisia wake na haki zake pale halipo si ajabu wanaona sasa bora tu wajiunge kiukweli kweli kama watu wamoja.

  Sisi bado atuna tools nyingi za ku-emmbed patriotism katika jamii, na lugha nadhani would be a good starting point.OOOooops am i off topic or somen?
   
Loading...