Hawajapatikana na kosa la kutakatisha fedha haramukabisa yaani huu ni utani....japo wamekaa ndani kama miaka 2.5,,,,,walizotakatisha watarudisha au?
Mie bado nashangaa!kweli jela ni sehemu ya maskini!
Huu ni uhuni tu. Mtu anatakiwa kulipa faini ya laki tano baada ya kukutwa na kosa la utakatishaji fedha? Au Mimi ndio sielewi hapa?
Tiba
Naomba muelewe haki imetendeka na umeona a watu walivyotengeneza kesi bila ushahidi wowote it is sad je mnajua Jamal alimwambia hakimu kuwa bado hanawadai TFF pesa nyingi tu Itabidi wamlipe otherwise hatawapeleka mahakamani
Uandishi wako mbovu sana, samahani kama nimekukwaza
See my hii pia ...wapo wenye meno!Huu ni uhuni tu. Mtu anatakiwa kulipa faini ya laki tano baada ya kukutwa na kosa la utakatishaji fedha? Au Mimi ndio sielewi hapa?
Tiba
hiki kiwango atawalipia diva@="Asprin,
Jamal Malinzi na Selestine Mwesigwa hawawezi kushindwa kulipa faini ya laki 5.
Hawaendi jela hao.
Yaaah nadhani kuna utani some where kwenye hizi Mahakama zetu. Serikali lazima itakata rufaa on this, vinginevyo sijui tunakwenda wapi kwenye haya mapambano dhidi ya rushwa na wizi wa mali/fedha za umma.Wait....yaani walitakatisha zaidi ya dola laki 3.
Wamepatikana na hatia.
Na adhabu ni ama walipe faini ya shilingi laki tano au waende jela mwaka mmoja!!
This is some joke business...
Kungekuwa na adhabu kwa watu design hii, haya mambo ya kipuuzi yangekoma. These days unaweza kukamatwa ukatupwa lupango miezi 12 then mwisho wa siku DPP kirahisi tu anaibuka na kusema “hatuna nia ya kuendelea na shauri hili”😏Basi hao mawakili wa serekali walikurupuka kama wameshindwa kuthibitisha kosa ya kwamba Jamal ametakatisha dola laki tatu.....
noma sana....
Wamekula mvua ngapi?
@="Asprin,
Jamal Malinzi na Selestine Mwesigwa hawawezi kushindwa kulipa faini ya laki 5.
Hawaendi jela hao.
Kama nimeelewa vizuri wamesema wamekutwa na hatia na kosa moja la kugushi nyaraka.Laki tano kwa kila kosa moja, sio kwa makosa yote. Hata hivyo naona ni adhabu ndogo tu na watalipa faini wawe huru.