Kisutu: Mahakama imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Mwesigwa, watakiwa kulipa laki 5 au kifungo cha mwaka1

Makosa 27 hayajamtia hatiani, kosa moja ambalo adhabu yake ni mwaka mmoja jela au faini ya sh. laki tano ndo lililomtia hatiani. Kwa hiyo ana option ya kwenda kutumikia mwaka mmoja jela au kulipa hiyo faini ya laki tano, game over..
 
Mtu unashtakiwa kwa makosa 18 likiwepo utakatishaji pesa, mwisho inaonekana mengi ulibambikizwa unalipa faini ya Tsh. laki 5 tu!!
Inasikitisha sana, na ni aibu kubwa kwa mwendesha mashtaka.
 
Wewe ulisoma shule gani hujui hata kuandika lugha fasaha?

Hicho ulichoandika ni utumbo wa nini ?
Naomba muelewe haki imetendeka na umeona a watu walivyotengeneza kesi bila ushahidi wowote it is sad je mnajua Jamal alimwambia hakimu kuwa bado hanawadai TFF pesa nyingi tu Itabidi wamlipe otherwise hatawapeleka mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait....yaani walitakatisha zaidi ya dola laki 3.

Wamepatikana na hatia.

Na adhabu ni ama walipe faini ya shilingi laki tano au waende jela mwaka mmoja!!

This is some joke business...
Yaaah nadhani kuna utani some where kwenye hizi Mahakama zetu. Serikali lazima itakata rufaa on this, vinginevyo sijui tunakwenda wapi kwenye haya mapambano dhidi ya rushwa na wizi wa mali/fedha za umma.
 
Sasa kama hukumu ilikuwa kulipa 500,000/
Si wangeambiwa tu ile siku ya kwanza wakalipa wakarudi kuendeleza bata mtaani!! Yaani umsoteshe mtu miaka miwili jela kwa kosa la kutakatisha kiasi cha zaidi ya Million 800 afu unakuja kumlipisha laki tano!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi hao mawakili wa serekali walikurupuka kama wameshindwa kuthibitisha kosa ya kwamba Jamal ametakatisha dola laki tatu.....
noma sana....
Kungekuwa na adhabu kwa watu design hii, haya mambo ya kipuuzi yangekoma. These days unaweza kukamatwa ukatupwa lupango miezi 12 then mwisho wa siku DPP kirahisi tu anaibuka na kusema “hatuna nia ya kuendelea na shauri hili”😏
 
Back
Top Bottom