Kisutu: Mahakama imewatia hatiani aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na aliyekuwa katibu wake Mwesigwa, watakiwa kulipa laki 5 au kifungo cha mwaka1

pantheraleo, Jamal Malinzi ni mmoja ya wakurugenzi wa DJB group hawezi kushindwa kulipa faini ya laki tano, mashitaka waliyopewa na muda waliokaa ndani na hatia waliyokutwa nayo ilikuwa kesi ya miezi miwili tu
 
Mmmh ila wameipata fresh, huo muda waliokaa ndani na kosa lenyewe hata havilingani.
 
Wait....yaani walitakatisha zaidi ya dola laki 3.

Wamepatikana na hatia.

Na adhabu ni ama walipe faini ya shilingi laki tano au waende jela mwaka mmoja!!

This is some joke business...
We need money,very much....
 
Wait....yaani walitakatisha zaidi ya dola laki 3.

Wamepatikana na hatia.

Na adhabu ni ama walipe faini ya shilingi laki tano au waende jela mwaka mmoja!!

This is some joke business...
Kuna kitu hakipo sawa hapa au tuna vichwa vibovu. Pia jiulize wamesota ndani kwa muda gani? Au wamepewa special teatment?
 
Malinzi karibu uraiani. Labda ushasahau hata kula na vijiko na kutumia choo cha kuflash. Hata kukaa kwenye kiti naona ushasahau. Halafu huku uraiani watu wanalala uchi hamna nini wala nini
 
Hukumu gani imetolewa. mbona unaharaka hivyo, toa taarifa kamili
Naomba muelewe haki imetendeka na umeona watu walivyotengeneza kesi bila ushahidi wowote it is sad. Je, mnajua Jamal alimwambia hakimu kuwa bado anawadai TFF pesa nyingi tu Itabidi wamlipe otherwise atawapeleka Mahakamani
 
Huu ni uhuni tu. Mtu anatakiwa kulipa faini ya laki tano baada ya kukutwa na kosa la utakatishaji fedha? Au Mimi ndio sielewi hapa?
Tiba
Hawa ndugu walishtakiwa na makosa tofauti 28. Kila kosa lina adhabu yake. Ni kazi ya jamhuri kuthibitisha pasipo kuacha shaka kuwa washtakiwa walitenda makosa. Katika makosa makubwa 27 Serikali imeshindwa kufanya hivo na wamefanikiwa kwene hilo kosa dogo la kughushi
 
Naomba muelewe haki imetendeka na umeona a watu walivyotengeneza kesi bila ushahidi wowote it is sad je mnajua Jamal alimwambia hakimu kuwa bado hanawadai TFF pesa
nyingi tu Itabidi wamlipe otherwise hatawapeleka mahakamani
Mzee baba nimependa mwandiko wako
 
Back
Top Bottom