Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Nasikia kuna gari moja tu aina ya Landrover ya mwaka 1966!,kwa anayekumbuka hotuba za Mwl Nyerere kuhusu hatima ya muungano na uraisi nadhani mnakumbuka alipotania kuwa ''ah nae Mkara anataka kumgombea uraisi''
 
Hongereni wakerewe&Wakala kwa Uzi wenu, nimewapenda bure akina chimenyane.
 
Kuna ndugu yangu kaolewa na mkara yani watoto wa wifi hawarudi kwao wakati wa likizo wakishafunga shule kisa watarogwa na wanakijiji wa huko
 
"Sidhani kama Kiongozi wa Nchi hii aliushawahi kutoka huko". (Azarel)


Azarel nakucheka kwa dharaaaaaaaaaahu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uje utembelee na kisiwa cha Ghana, hiki ndo kisiwa chenye starehe zaidi, wao hupenda kukiita Cape Town[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kisiwa Chenye starehe ni "Mchangani" hapo Wanaishi Watu wazima pekee tena Wafanya Biashara hakuna Watoto wala Shule!! Na ni marufuku kuishi na familia kule!.
N/B Wanaishi Wafanya Biashara kwa sababu ni Hifadhi ya Misitu inayojumuishwa kwenye na HIFADHI YA MSITU WA BUHINDI. "Buhindi Forest and game Reserve"

Mchangani_Kome/ Jimbo la Buchosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…