Mateja M.G Yango
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 613
- 1,097
- Thread starter
-
- #101
Mamba huyo anayeishi majini.mweeh basi tena mamba huyu anayeishi majini ama mamba gani?
Ahsante sana ndugu kwa kunipeleka nansio coz toka nitoke huko almost 30 years cjakanyaga huko shukrani sana pia nitafurahi zaidi ukituletea na picha za ukara
Vipi nasikia uchawi ni mwingi huko.Mwambie bwana watu tumezaliwa ukara nahuwa niko proud mtu akiniuliza kabila langu ntamwambia mm ni mkara wa chibhasi
Zamani miaka ya 80 walikuwa wanatisha kwa uchawi bt nowadays hakuna kitu kama hicho kama wapo basi ni wachache nakumbuka maza alikuwa akienda likizo cku ya kuondoka alikuwa haagi anakwambia ukiaga tu kuwa unaondoka jua watarudisha maiti yakoVipi nasikia uchawi ni mwingi huko.
Nyehunge wanaendelea rahisisha safari ya Nansio. Hiyo ni VIP Class ya ferry yao mpya.Ahsante sana ndugu kwa kunipeleka nansio coz toka nitoke huko almost 30 years cjakanyaga huko shukrani sana pia nitafurahi zaidi ukituletea na picha za ukara
Mkuu umesahau na Kisiwa cha"GHANA"PAZURI HUKO SANA. WAPI.
1. BWISYA.
2. NYANG'OMBE.
3. KOME.
4. CHIBASI.
5. MALELEMA (CITY OF UKARA).
6. BUKUNGU.
7. BUKIKO.
8 NYAMANGA.
I WILL BACK THERE SOON.
Wow ngoja nami nichukue likizo nije nishangae shangae barikiwa sana mkuuNyehunge wanaendelea rahisisha safari ya Nansio. Hiyo ni VIP Class ya ferry yao mpya.
View attachment 478726
Mkuu umesahau na Kisiwa cha"GHANA"
Nimegundua Wakerewe na Wakara ni wengi sana Jf, hata wewe?
Vipi kuhusu dancing stones kama mleta mada alivyosema, ni kweli hiyo?Zamani miaka ya 80 walikuwa wanatisha kwa uchawi bt nowadays hakuna kitu kama hicho kama wapo basi ni wachache nakumbuka maza alikuwa akienda likizo cku ya kuondoka alikuwa haagi anakwambia ukiaga tu kuwa unaondoka jua watarudisha maiti yako
Ni safari ya masaa mangapi kutoka Mwanza?Nyehunge wanaendelea rahisisha safari ya Nansio. Hiyo ni VIP Class ya ferry yao mpya.
View attachment 478726
"Sifa zooote anazo,ila hatumtaki,ukiuliza kisa nini,-MKARA".JULIUS NYERERE.ukara ndo naisikia leo.. endelea kutujuza kisiwa kilivyo.hali ya uchumi
masaa 3 kutoka Mwanza hadi Nansio, Ukerewe. nauli ni elfu 6, elfu 7 na elfu 15. hii ni ferry ya mtu binafsi, maarufu kama Nyehunge.Ni safari ya masaa mangapi kutoka Mwanza?
Nani mmiliki wa hiyo ferry binafsi?masaa 3 kutoka Mwanza hadi Nansio, Ukerewe. nauli ni elfu 6, elfu 7 na elfu 15. hii ni ferry ya mtu binafsi, maarufu kama Nyehunge.
Tax kutoka Nansio hadi Bugorola ni sh 2,500.00 kama mtaunganishwa watu watano hadi sita au sh 15,000 ukiichukua mwenyewe. inatumia roughly 20 minutes.
Kutoka Bugorola hadi Bwisya,Ukara ni mwendo wa saa moja, nauli sh 800. hii ni ferry ya serikali.
ni mwarabu/mhindi wa hapa Mwanza, anajulikana kama Nyehunge, sielewi why alibrand vyombo vyake kwa jina hilo sababu kuna sehemu inaitwa Nyehunge pia, anamabus ya kwenda Buchosa, Sengerema, Moro/Dar na vivuko.Nani mmiliki wa hiyo ferry binafsi?
Cha mawe ..Ulio wasu anye ni wa chibhasi
Pale karibu na uwanja wa mpira kuna soko la samaki , zahanati pia kuna kanisa la kihistoria la roman ..babu yangu alikuwa ni padre hapo anaitwa father bwile alifariki miaka miwili iliyopita. Ndiye kwenye ukoo wetu mungu alimjalia kupata daraja takatifu..Mkuu huko ndio kwetu ukifika ulizia kijiji kinaitwa nyamanga
Naomba unijibu kwa nini wale wazungu ambao walifunga hilo jiwe na minyororo lianguke ziwani walishindwa na mnyororo ulikatika.Nimefika kwenye hilo jiwe, ni usanii mtupu, hakuna kitu kinachoitwa miujiza. Jiwe hilo linacheza kwa sababu za kisanyansi na sio miujiza. Kwa ufipa wangu nilitaka niwachallenge kwa sayansi ya ufipa, nikakuta watupu mnoooo!
Position ya hilo jiwe ni sababu kuu ya lenyewe kucheza...
Jiwe lenyewe lazima lisukumwe ndipo licheze!
Sijui kwa nini watu wanaaminishwa tofauti na wanakubali!