Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,735
- 39,838
siku hizi kuna trial za 4k/UHD kwa DVB-T2, hivyo sioni Tabu kushindwa HD ya kawaida ambayo hata Full HD haijafikaHalafu bei ni sawa na kifurushi cha Dish, bila shaka wanakiamini kwa ubora wa HD
Swali la msingi ni kuwa vipi utofauti kwenye uoneshaji wa picha
Muhandisi tujuze,hivi antena kwenye mvua hakuna shida? Je mwanzo azam kwenye dish FTA zilikuwepo jee baada ya antena na kule zitabaki?
Asante kwa ufafaniluziNafikri unamaanisha resolution. Picha zitakuwa na quality moja tuu hakuna tofauti kabisa as ling as vyote vitakuwa na HDMI port
AhsanteMvua sio shida sana japo inablock waves, lakini sio kiasi cha Dish
Good.Swali la msingi ni kuwa vipi utofauti kwenye uoneshaji wa picha
Mkuu eleza ki-uwazi nae bibi wa ziwa nyasa huko aelewe. Au haya mambo ya mawasiriano kisaterite yana mlolongo usioelezeka katika lugha rafiki ikaeleweka?. Hata hapa najua wengi bado hujawaambia tofautiLabda niwafumbue macho kwa mambo machache.
1. Mawasiliano kwa njia ya Satellite ni ghali sana hasa ukizingatia satellite ni za kukodi. kwa hiyo ukirusha matangazo kwa Mitambo ya kusimikwa ardhini ( Terestrial ) Ni ghalama nafuu zaidi
2. Mawasiliano ya Satellite yana changamoto ya hali ya hewa hasa mvua. so effectiveness haipo na pia kwe satellite kuna delay (Latency) lakini mawasiliano kwa njia ya digital yana nafuu katika hili
3. Bei ya Vifaa Eg King'amuzi na dish lake ni bei juu kuliko ukinunua Decoder ua antenna. Ndio maana utaina Star times wameshawahi uza ving'amuzi hadi chini ya elfu 50 wakati vya Dish ni laki 1 Plus
4.
5.
6.
Nitarudi
Mkuu eleza ki-uwazi nae bibi wa ziwa nyasa huko aelewe. Au haya mambo ya mawasiriano kisaterite yana mlolongo usioelezeka katika lugha rafiki ikaeleweka?. Hata hapa najua wengi bado hujawaambia tofauti
Mfano hapo #1 umesema mawasiriano kwa njia ya satellite ni ghali,hasa satellite za kukodi,kuliko ya kusimikwa ardhini. Swali 1. Azam wanatumia ya hiyo ya kukodi ya satellite au kusimikwa?. 2. Kwa nini wasitumie yenye nafuu ya kusimkwa ardhini?.Baba nimejitahidi sana kuchambua wengi wameshukuru. ww hujaelewa wapi katika vipengele hivyo vitatu nikuelezee
Mfano hapo #1 umesema mawasiriano kwa njia ya satellite ni ghali,hasa satellite za kukodi,kuliko ya kusimikwa ardhini. Swali 1. Azam wanatumia ya hiyo ya kukodi ya satellite au kusimikwa?. 2. Kwa nini wasitumie yenye nafuu ya kusimkwa ardhini?.
#2. Umesema changamoto ya hali ya hewa. Tuje kwenye swali la msingi la muanzisha tred. (A)Vipi kati ya hicho cha dish cha kila siku cha Azam na hiki cha antena cha sasa cha Azam kwenye swala la hali ya hewa kipindi cha mvua?. (B) Je hiki cha sasa kinaweza kuwa bora kuliko cha zamani hasa ikija kwenye swala la hali ya hewa kipindi cha mvua?
#3. Umezungumzia utofauti wa bei kati ya dish na antenna. Ukaenda mpaka bei chini ya elfu 50 kwa star time kwa ving'amuzi. Lakini bado watu wanalalamikia uhafifu wa picha na ubora ktk hicho king'amuzi cha star times. Tukirudi kwenye swali la msingi. Vipi sasa kuhusu kati ya dish na antena hizi za Azam inaweza ikawa kama star times au tu tusubiri wakati tuingie?
Sio kweli kwamba king'amuzi cha startimes cha antena kina picha hafifu hichi ni king'Amuzi cha antena kina HDMI port na tv ni 43 inch lakini picha inaridhisha sio mbaya kama mnavyosemaMfano hapo #1 umesema mawasiriano kwa njia ya satellite ni ghali,hasa satellite za kukodi,kuliko ya kusimikwa ardhini. Swali 1. Azam wanatumia ya hiyo ya kukodi ya satellite au kusimikwa?. 2. Kwa nini wasitumie yenye nafuu ya kusimkwa ardhini?.
#2. Umesema changamoto ya hali ya hewa. Tuje kwenye swali la msingi la muanzisha tred. (A)Vipi kati ya hicho cha dish cha kila siku cha Azam na hiki cha antena cha sasa cha Azam kwenye swala la hali ya hewa kipindi cha mvua?. (B) Je hiki cha sasa kinaweza kuwa bora kuliko cha zamani hasa ikija kwenye swala la hali ya hewa kipindi cha mvua?
#3. Umezungumzia utofauti wa bei kati ya dish na antenna. Ukaenda mpaka bei chini ya elfu 50 kwa star time kwa ving'amuzi. Lakini bado watu wanalalamikia uhafifu wa picha na ubora ktk hicho king'amuzi cha star times. Tukirudi kwenye swali la msingi. Vipi sasa kuhusu kati ya dish na antena hizi za Azam inaweza ikawa kama star times au tu tusubiri wakati tuingie?
King'amuzi cha antena cha startimes kina picha nzuri tu kama kawaida. Mimi nina Azam ya dish na king'amuzi cha startimes cha antena chenye HDMI na sioni tatizo kwenye ung'aavu na muonekano wa picha ni mzuri tu.Sio kweli kwamba king'amuzi cha startimes cha antena kina picha hafifu hichi ni king'Amuzi cha antena kina HDMI port na tv ni 43 inch lakini picha inaridhisha sio mbaya kama mnavyosemaView attachment 1632148
Asante hapo nimekuelewa baba1. Baba ipo hivi
mawasiliano ya dishi yanategemea satellite iliyopo huko juu angani kwenye space. na hizo satellite zinamilikiwa na makampuni. ili uweze kutumia inabidi ukodi upewe nafasi ndio utumie. kutokana na u ghali wa huduma hiyo, hupelekea hata vifurushi vya Ving'amuzi vya Dishi viwe vikubwa ili kupata fedha ya kulipa pango
utakua shahidi kwa startimes, bei ya vifurushi vya dish na antenna vina utofauti , vya dishi ghali
kwa hiyo azam wamesimika mitambo mipya ( New project) ya ardhini( Minara) ili kupunguza ghalama kwa mtumiaji wa mwisho
2. Mawasiliano ya Dish/ Satellite yana changamoto ya hali hewa. utakua shahidi, ikinyesha mvua kidogo au wingu kubwa matangazo ya azam huwa yanakwama kwama hata ya DSTV
Sasa kwa mitambo ya ardhini na ving'amuz vya antenna havipati hii shida hata mvua inyeshe
3. Nenda dukani ulizia king'amuzi cha startimes cha dish na antenna kipi kina bei. Cha dish kinabei sana kwa sababu ya kulipia technlogies zilizimo mule ndani. so decoders za antenna zina bei ndogo na itakuwa nkomboz wa watz wengi
1. Baba ipo hivi

Hapa elimu umeitendea haki,mhandisi fursa ya kuuliza kuhusu satellite bado ipo tuendelee?
Mfano visimbuzi vile kama strong, Mediacom tulikua tunapata FTA,kama kurusha kwa satellite ni gharama je vile kisimbuzi vinapata masafa kutoka wapi? Harafu mbona chanel ya zbc haiko FTA shida ipi?Karibu
Chief-Mkwawa eti ni wapi naweza kupata simu ya nokia E7 ili side kicksiku hizi kuna trial za 4k/UHD kwa DVB-T2, hivyo sioni Tabu kushindwa HD ya kawaida ambayo hata Full HD haijafika
Aliexpress ndio uhakika kupata Around 150kChief-Mkwawa eti ni wapi naweza kupata simu ya nokia E7 ili side kick