Kisimbuzi cha dish na kisimbuzi cha Antena

Matangazo ya live ni ghali sana kwa sababu hayafanyiki studio.

hivyo huitaji namna ya kurusha matangazo kutoka Eneo la tukio na kwenda studio kwa ajili ya kurushwa kwa umma

Sasa kurusha hayo matangazo kutoka eneo husika hadi studio ndio kisanga kinaanzia hapo

Kuna kurusha kwa Satellite, Internet, Microwave na njia nyingine

Internet ni ghalama nafuu ila kamq connection iko poor lazima kutakuwa na kukwama kwama kwa picha.

Microwave inafaa kwa umbali usio mrefu sana na kusiwe na kikwazo kati kama milima au majengo marefu. Njia hii ikitumika zamani ila kwa sasa sio sana Since kusafirisha picha za HD zinahitaji bandwith kubwa. unaweza kuta inahitajika njia ambayo itaweza safirisha 2mb/ Sekunde sada unakuta njia nyingi za kawaida zinafeli

3. Satellite. Hii ndio njia muafaka. kwa sababu inafanya kazi mazingira yoyote na pia kama unamtoa huduma mzuri basi video zako zitafika bila kukwama ila ni ghali sana inabidi uilipie kwa masaa na ni dollar nying za kutosha hii ndio inafanya huduma ya live kuwa ghali

Pia kusafirisha gari la matangazo, na watu wasio pungua kumi, kwa hiyo hapo kuna chakula, malazi, usafiri/ mafuta na kutengeneza faida lazima shughuli iwe pevu
Ahsante sana,kumbe ndio maana mikutano ya live wengi hushindwa, hivi kinachofanya studio ya tv mlaji upate picha nzuri ni camera za studio au vitu gani lazima viwe viwepo? Nini tofauti ya sauti kwenye mp 3 na mp4 hivi navyo sivielewi vizuri
 
Nimekukubali mkuu umemaliza kila kitu kwa hiyo msishangae azam tv chaneli za mpira ni gharama
 
Ahsante sana,kumbe ndio maana mikutano ya live wengi hushindwa, hivi kinachofanya studio ya tv mlaji upate picha nzuri ni camera za studio au vitu gani lazima viwe viwepo? Nini tofauti ya sauti kwenye mp 3 na mp4 hivi navyo sivielewi vizuri

Boss ntakujibu
 
Kupata picha nzuri kuna mambo mengi sana . cha kwanza kabisa inategemea na mitambo ya urushaji matangazo ipo katika kiwango/ uwezo upi
IMG_3931.jpg

Kila mitambo ina resolution yake ya kurushia matangazo, sasa kupata picha nzuri kwa mlaji issue inaanzia hapa. kwa kipindi hiki ili TV iwe na picha nzuri at Minimum lazima iwe 720p na ikiwa Standard inabid iwe 1080p Nadhani hata Azam TV zile channels zake za azam sports na azam one and two zipo hapa. hapo iyo 1080p Sokoni inajulikana kama Full HD na 720 ni just HD

kwa hiyo, inawezekana video zikarekodiwa kwa camera nzuri sana, na kwa Resolution kubwa Eg. 4K au full HD (1080p) na kuandaliwa kwa uzuri kabisa, lakini kama Mtambo wa kurusha matangazo una resolution ya chini basi italazimu kuconvert hizo video zioane na parameters za mtambo

Suala la Sauti kwenye Mp3 na Mp4 ni Mtambuka

Kwanza lazima ujue kuna file codec na kuna file container. Mp3 ni codec. yaani mfumo wa kutengeneza audio file. ( Sina lugha nzuri) kwa hiyo basi, zipo njia nyingi kama amr. Wav. aac nk. Codec hizi itategemea na matumizi may be ni kuweka kwenye muvue, kutengeneza sound samples, au kwenda kwa mlaji wa mwisho kama audio ambapo tunatumia mp3.

Tukija kwenye Mp4 Ni file container ndani ya mp4 kunaweza kuwa na Audio, video, text nk. Mp4 ndani inaweza kuwa na video ikawa na audio ya mp3 au aac itategemea na na pia kunaweza kuwa na Subtittle yaani text. au kwenye MP4 moja kunaweza kukawa na audio zaidi ya moja. mfano, unaweza kuwa na movie moja ina audio 3 yaani unaweza chagua English, French au portugees nk

Ili uelewe haya mambo inabidi ujifunze Mambo ya file format ( Extensions) File container na file codec

Sijui kama nimekujibu
 
Kupata picha nzuri kuna mambo mengi sana . cha kwanza kabisa inategemea na mitambo ya urushaji matangazo ipo katika kiwango/ uwezo upiView attachment 1633878

Ahsante sana kuna vitu nimefaidi hapa, swali transmitter (minara) ya radio hutofautiana nguvu mfao tunakwenda km 50 lakini kV 1000 au km 50 kv 500?, nimeuliza hivi kuna radio nguvu zao za usikivu ni mdogo mno kuliko nyingene kwanini?
 
Ni kweli nguvu zinatofautiana hii natokana na uwezo wa Transmitter zao lakini pia na regulations za TCRA. Maana unaweza pewa masafa ukarusha redio kwenye Mkoa/ Wilaya yako kwa Frquence fulani soo inatakiwa uwe na kipenyo au radius ambapo mawimbi yako yatakomea maana ukizidisha hapo utasumbua usikivu kwa mtu anaetumia mawimbi hayohayo kwa mkoa mwingine.

Mfano . 92.6 Morogoro Radio ukweli lakini ukienda iringa unakuta ni radio nyingine so inabidi kuwe na mipaka
 
Kupata picha nzuri kuna mambo mengi sana . cha kwanza kabisa inategemea na mitambo ya urushaji matangazo ipo katika kiwango/ uwezo upiView attachment 1633878

Kila mitambo ina resolution yake ya kurushia matangazo, sasa kupata picha nzuri kwa mlaji issue inaanzia hapa. kwa kipindi hiki ili TV iwe na picha nzuri at Minimum lazima iwe 720p na ikiwa Standard inabid iwe 1080p Nadhani hata Azam TV zile channels zake za azam sports na azam one and two zipo hapa. hapo iyo 1080p Sokoni inajulikana kama Full HD na 720 ni just HD

kwa hiyo, inawezekana video zikarekodiwa kwa camera nzuri sana, na kwa Resolution kubwa Eg. 4K au full HD (1080p) na kuandaliwa kwa uzuri kabisa, lakini kama Mtambo wa kurusha matangazo una resolution ya chini basi italazimu kuconvert hizo video zioane na parameters za mtambo

Suala la Sauti kwenye Mp3 na Mp4 ni Mtambuka

Kwanza lazima ujue kuna file codec na kuna file container. Mp3 ni codec. yaani mfumo wa kutengeneza audio file. ( Sina lugha nzuri) kwa hiyo basi, zipo njia nyingi kama amr. Wav. aac nk. Codec hizi itategemea na matumizi may be ni kuweka kwenye muvue, kutengeneza sound samples, au kwenda kwa mlaji wa mwisho kama audio ambapo tunatumia mp3.

Tukija kwenye Mp4 Ni file container ndani ya mp4 kunaweza kuwa na Audio, video, text nk. Mp4 ndani inaweza kuwa na video ikawa na audio ya mp3 au aac itategemea na na pia kunaweza kuwa na Subtittle yaani text. au kwenye MP4 moja kunaweza kukawa na audio zaidi ya moja. mfano, unaweza kuwa na movie moja ina audio 3 yaani unaweza chagua English, French au portugees nk

Ili uelewe haya mambo inabidi ujifunze Mambo ya file format ( Extensions) File container na file codec

Sijui kama nimekujibu
Naomba kuongeza swali hapa. Tofauti ya m4a na mp3 ni ipi
 
Back
Top Bottom