Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Mfano visimbuzi vile kama strong, Mediacom tulikua tunapata FTA,kama kurusha kwa satellite ni gharama je vile kisimbuzi vinapata masafa kutoka wapi? Harafu mbona chanel ya zbc haiko FTA shida ipi?
Ipo hivi kuna baadhi ya chanels ni bure, huitaji kuilipia mfano Star TV, ITV nk hizo hata ww ukiwa na decoder yako unaiweka bila hata kulipia. soo hizo chanel hurushwa kupitia satellite huko hurushwa bure. unaweza kuta ni watu wameruhusu satellite itumike bure au kuna watu wengine wanalipa ghalama on behalf ila kuna limitation kutumia hiyo satellite ya bure. kwanza hakuna program yoyote itapatikana kama vile kujua kipindi gani kitafuata, Nk wao bi kuonyesha picha na sauti tuu. pia wameminya resolutiom unakuta huko video ni 480p hakuna hata HD so kuna vitu vinakosekana