grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,442
- 5,807
Heri kuongozwa na Alshabab mwafrika mwenzako kuliko kuitwa, "Sabaaaaniiii iko osha toto chooni bhana" na gabachori kila siku. Na siku akipingwa anachukua hela zake za kununulia mechi na marefa, matokeo yake timu inaanza kulala mzungu wa nne hotelini, kocha analia nyumba yeke haina maji, haina umeme, hana usafiri anatumia pikipiki kwenda mazoezini na mwisho timu inafungwa mabao tano tena.Great thinkers wanaongozwa na alshabab!? C'est ne pas possible!