hiyo ndiyo tasfiri ya KISIMA cha SOKA? kama ndivyo taja nchi zote.......locally tu, kwa Yanga (Mabingwa wa Vilabu Afrika Mashariki na Kati vide Kagame Cup) kuna nusu ya wachezaji toka Simba haluina ubishi hilo na msimu wa usajili ukianza tu jicho la kwanza la Yanga linakwenda kwa Vipaji vilivyopko SIMBA na hili utabisha?
Yondani ana njaa zaidi Yanga hebu mtazame pichani vizuri, Patrick kaja na mbavu zake mkuu
nimeuliza kisima cha soka ni mchezaji gani wa simba anaecheza soka la kulipwa nje kwenye ligi kubwa zaidi ya kwenda kubeba mabox wakisingizia wanacheza soka naona unaleta masifa tu kama mwana siasa,. Leta jibu ni mchezaji gani anakipaji katoka simba anacheza ligi za watu wenye vipaji?????
mkuu bora ungesema tu wa chama cha siasa...........unanilinganisha na CCM? dah, nitake radhi mkuu, nachukia sana hiyo rangi, hata machungwa sili sbb ya rangi ya hiyo chamakaka we nahisi ni mbunge au diwani wa ccm make unachoulizwa na unachojibu haviendani kabisa
hiyo ndiyo tasfiri ya KISIMA cha SOKA? kama ndivyo taja nchi zote.......locally tu, kwa Yanga (Mabingwa wa Vilabu Afrika Mashariki na Kati vide Kagame Cup) kuna nusu ya wachezaji toka Simba haluina ubishi hilo na msimu wa usajili ukianza tu jicho la kwanza la Yanga linakwenda kwa Vipaji vilivyopko SIMBA na hili utabisha?
Ally Mustapha, Nurdin Bakari, Kelvin Yondan, Idd Chuji, Gumbo........Unajua nyuma ya Katiba ya Yanga Kuna Maneno HayaNabisha, unajua nyie Simba mna mdomo sana. Timu yenu msimu uliokwisha imebebwa sana na wachezaji waliotoka Yanga, Ngasa na Kiemba. Pia mchango wa Kigi ulikuwa mkubwa sana, bisheni.
Abdallah Bin Kleb na Seif Magari wanacheza Kagoda FC ya Austria.nimeuliza kisima cha soka ni mchezaji gani wa simba anaecheza soka la kulipwa nje kwenye ligi kubwa zaidi ya kwenda kubeba mabox wakisingizia wanacheza soka naona unaleta masifa tu kama mwana siasa,. Leta jibu ni mchezaji gani anakipaji katoka simba anacheza ligi za watu wenye vipaji?????
Ally Mustapha, Nurdin Bakari, Kelvin Yondan, Idd Chuji, Gumbo........Unajua nyuma ya Katiba ya Yanga Kuna Maneno Haya
.........BISHANA HADI KUFA HATA KAMA NI UKWELI...........
Anakwenda kuua kipajichke,angekaa zake Manungu...
Bila shaka hao wote waliisaidia SIMBA SC wakitokea YANGA msimu uliotangulia. Ngoja tumsubiri aje kutuhakikishia.Ally Mustapha, Nurdin Bakari, Kelvin Yondan, Idd Chuji, Gumbo........Unajua nyuma ya Katiba ya Yanga Kuna Maneno Haya
.........BISHANA HADI KUFA HATA KAMA NI UKWELI...........
masifa mengine bwana hivi simba ishawai toa mchezaji akacheza ligi ya ufaranda,spain,italy,wingereza au uholanzi
Simba - Maftah, Ngassa, Kiemba, Makassy
Yanga- Batezi, Nurdini, Yonandi, Chuji
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Gumbo kachezea Mtibwa.
Hebu sema sasa nani mwenye wachezaji wengi? Wacheni midomo hiyo.