Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,768
Bila shaka hao wote waliisaidia SIMBA SC wakitokea YANGA msimu uliotangulia. Ngoja tumsubiri aje kutuhakikishia.
He, kweli Nyani haoni....., kwani Nurdini, Chuji na Gumbo wana misimu mingapi Yanga? Tena basi ukiacha Yondani wengine wote walisajiliwa na Yanga kama "reject." Midomo inaponza hiyo. Nurdin mlimstaafisha soka nyie, Gumbo kiwango kilikuwa chini, pia Barthezi kipa wa benchi na Chuji alitemwa kwa kiwango kibovu. Nyie vipi bana!!!!!