Kisiki cha Simba Ndani ya Bodaboda

Kisiki cha Simba Ndani ya Bodaboda

Bila shaka hao wote waliisaidia SIMBA SC wakitokea YANGA msimu uliotangulia. Ngoja tumsubiri aje kutuhakikishia.
unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................
 
Rio Ferdnand akiwa anajiandaa kuondoka kwenye baada ya mazoezi

tumblr_lv3iihm2Dh1qik6pn.jpg
 
Du umeishia la ngapi mkuu? Sidhani kama una uwezo wa kuchangia mada hapa. Hivi ufaranda,spain,italy,wingireza ni nini?Samahani kwa kuwa muwazi kwako
unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................
 
Duh Watu8, inabidi pia utumie kanuni ya Relativity

Hahaha...mkuu huyo mchezaji anajiweka matatani kwa kupanda Bodaboda...
Ajira yake bila miguu haiwezekani halafu yeye anaiweka rehani kirahisi tu hivyo...
Ningekuwa mimi ni yeye ningerudi nyumbani kwa kufanya jogging ili kuimarisha zaidi pumzi...
Kwa nafasi anayocheza (Nadhani ni mkoba wa kulia), ingemuongezea wepesi uwanjani...
 
Du umeishia la ngapi mkuu? Sidhani kama una uwezo wa kuchangia mada hapa. Hivi ufaranda,spain,italy,wingireza ni nini?Samahani kwa kuwa muwazi kwako
unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................
 
images.jpg

huyu je mkuu? lakn Mafisango alifia ndani ya GX yake ndio maana hatuwapi magari siku hizi, besides, dogo tangu apewe mpungaa amekua bize na mazoezi...........
 
Hahahah yule jamaa ni zaidi ya shabiki...yule ni mfurukutwa!!!

unajua yule shabiki aliyelia baada ya Yanga kupigwa mkono aliulizwa umeanza lini kuipenda Yanga akasema 2008!!!!? bila shaka ndiye huyu................
 
Naona unanibana wanaocheza ligi ya nje, lakini wa ndani huangalii, sisi bado ni wa hapahapa wachache hawa...

Adam Nditti, Njohole, Sammata, Shengo na wenzake wa 5 (German) Mwameja, Boban, Ngassa, Masatu,

asante kwa kukubali kua unaleta sifa za kijinga,. Make sjawai ona msimbazi ikitoa kioaji cha maana zaid ya kujisifia tu,. Hongera kwa kukiri,. Haya yanga tunanza na nonda shabani monako na kacheza mpaka fainali uefa,. Ngasa kaenda pasha westham saidi maulidi yupo angola ebu nipe vyako bro
 
mkuu bora ungesema tu wa chama cha siasa...........unanilinganisha na CCM? dah, nitake radhi mkuu, nachukia sana hiyo rangi, hata machungwa sili sbb ya rangi ya hiyo chama

mkuu mbavu zangu aisee, koo unaichukia nyinyiem hivo kiasi kwamba hata mchicha huri, sasa mbona majibu yako kama nchimbi,pinda au lusinde,. Makamanba hatupo hivo kama ulivo
 
Du umeishia la ngapi mkuu? Sidhani kama una uwezo wa kuchangia mada hapa. Hivi ufaranda,spain,italy,wingireza ni nini?Samahani kwa kuwa muwazi kwako

ndio tatizo lenu walimu wa chekechea ludi kawapanguse makamasi wanafunzi wako uko chekechea tuache watu wazima apa
 
Nani Katwaaa Ubingwa? ukijibu hili umemaliza analysis

Kwa analysis kama hizi kuna kina Rage wengi Simba. Ubingwa unachangiwa na vitu mbalimbali vikiwekwa pamoja. Otherwise hebu tueleze ni kwa nini mlimtimua Kaburu na Dalali? Kwa nini mlimsimamisha Amir Maftah? Nini ni chanzo cha kubadili makocha hovyo? Nini kiliwasibu kina nyoso? Hivi tawi la mpira pesa nalo lilitokea Yanga? Kwa akili za ujanja ujanja kama za Rage bado mna safari ndefu.

Kama tatizo lilikuwa ni viwango vya wachezaji waliotoka Yanga mbona hamkutaka kuwaacha waondoke kwa amani? Mmemlilia Ngasa usiku na mchana, mkapatwa na presha kwa Kiemba. Halafu mnaleta maneno kibao hapa
 
Back
Top Bottom