Kishindo cha Polepole Leo Lumumba kaa mkao wa kula. Mavuno

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Kama picha inavyojieleza katibu wa uenezi wa CCM taifa ataunguruma akitokea ofisi ya Lumumba

Kuna mavuno ya wapiganaji wapya na masuprise kibao kuelekea kuvunja bunge na kuanza kuchukua kura

Stay tuned

USSR
FB_IMG_1590111258936.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa zetu toka 2015 baada ya uchaguzi mkuu,nkashuhudia vyama walivyovuna,upangaji wa wabunge tu viti maalumu baadhi ya vyama,ulinistajabisha malalamiko yakawa mengi.Tangia pale nkasema ntabaki kuwa tu mtazamaji kwahiyo tangia hapo sishangai lolote linaotokea leo,maana wasaka maslahi ni wengi Leo anakuwa yanga kesho Simba,mara maji maji mara mtibwa mradi tu Mambo yake mjini yaende sawa,so yataojiri leo ndio yatayouza magazeti kesho sio mbaya
 
Sasa za kusaka fursa, ni furaha muda mfupi tu. Kutakuwa na kilio na kusaha meno hapo baadaye ccm hamtaamini,
 
Hilibla viti maalum kwenye vyama lilinikera kwelikweli
 
Sasa za kusaka fursa, ni furaha muda mfupi tu. Kutakuwa na kilio na kusaha meno hapo baadaye ccm hamtaamini,
mliberali
Hao maccm yaache yashangilie tu kwa hivi sasa...........

Lakini kama ulivyosema maajabu makubwa yatatokea baadaye mwaka huu, ambayo hakuna binadamu yeyote atakayeyaamini!
 
Back
Top Bottom