Kishindo cha Polepole Leo Lumumba kaa mkao wa kula. Mavuno

THE BREED

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
1,506
2,000
Hatuna muda wa kusikiliza wajinga na mapopoma sisi!!!!si huyu huyu anaetuhumiwa kutelekeza mimba za wafagizi wa lumumba!!!!!akalee kwanza mimba ndio aje live hapa!hatunaga ma komredi mapopoma kama haya!!!
 

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
796
1,000
Vijana wa matusi mmeamka, aliongea mbowe zaidi ya mara tatu hamkumuita fara ila kaja polole mnatukana mara mnunuzi, mbona hamkumuita mbowe muuzaji?
 

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
3,857
2,000
Natani ccm ingefanya siasa za ushindani wa kweli na kuachana na fitina, hadaa, itasaidia kurudisha imani iliyopotea kwa maamuzi ya hovyo kununua wapinzani na dhuluma kuu uchaguzi serikali za mitaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
18,895
2,000
Chakubanga hana jipya, zaidi ya kuwapokea kina Lijualikali - yaani achievement ya huyu jamaa ni hii mikutano yake ya kupokea wanachama wapya anaowapata kwa njia ya rushwa.
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,355
2,000
Nasikia Mbowe amekimbiwa kila kona. Nasikia Jimboni kwake Baraza limemwacha solembaaaaaa
Baada ya kusikia kuwa Mbowe kala bilioni nane peke yake hajawapa hata mia alitegemea wabaki? lazima wamkimbie

Leo chadema lazima pressure iwapande MAMBO KIMYA KIMYA POLE POLE ANAFANYA KISAYANSI Chadema anawashtukiza tu wanakuta bomu hilo limeshawalipukia bila hata intelligensia yao kunusa!!! wanabaki midomo wazi na leo midomo lazima iwe wazi
 

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,309
2,000
CCM haiwezi kukubaliki kwa kununua mamluki sana sana wananchi wanazidi kuidharau na kuipuuza.

Miaka mitano mmetelekeza wananchi mmekumbatia maendeleo ya vitu huku wananchi wakteseka hivyo hizi drama zinazidi kukera wananchi na wanajua kodi zao ndio zinatumika kwenye huu uharamia wa kisiasa.
 

Ta Nanka

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
725
1,000
Kama picha inavyojieleza katibu wa uenezi wa CCM taifa ataunguruma akitokea ofisi ya Lumumba

Kuna mavuno ya wapiganaji wapya na masuprise kibao kuelekea kuvunja bunge na kuanza kuchukua kura

Stay tuned

USSR View attachment 1456293

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanasihasa yeyote anayefurahia kuchukua wanachama kutoka chama kingine cha sihasa hafikiri sawa sawa!
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,815
2,000
Ushamba ni mzigo sana, njoo hapa jirani na Nmb buzuruga utanikuta nikupatie angalau senti za kununulia bundle ya mwezi
Kijana anachapa kazi kweri kweri! Mkiona habari zake tu akili zooooote zinawatoka! Sijui kama mmelala leo kwa mawazo. By the way, leo weekend, ofa yangu kwako ya K Vant ipo palepale Diamond jioni. Ahahahahahahh!
In God we Trust
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom