Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
Jana muheshimiwa Rais alisema hakuna tofauti kati ya ubongo wa mwanamke na ule wa mwanaume.. Naafiki kauli yake lakini wanasayansi wanasema kuna tofauti.
Kuna mmoja ameniambia ubongo wa mwanaume ni mkubwa kuliko ule wa mwanamke.
Wanasayansi mliopo humu naomba tusaidiane maana nasikia ubongo wa mwanamke upo vizuri sana hasa linapo kuja swala la kuongea, kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja etc.