Kisayansi ubongo wa Mwanaume Vs Mwanamke

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Jana muheshimiwa Rais alisema hakuna tofauti kati ya ubongo wa mwanamke na ule wa mwanaume.. Naafiki kauli yake lakini wanasayansi wanasema kuna tofauti.

Kuna mmoja ameniambia ubongo wa mwanaume ni mkubwa kuliko ule wa mwanamke.

Wanasayansi mliopo humu naomba tusaidiane maana nasikia ubongo wa mwanamke upo vizuri sana hasa linapo kuja swala la kuongea, kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja etc.
 
Ubongo wa mwanamume ni mkubwa zaidi ya mwanamke kwa asilimia 10-11. Mainly kutokana na ukubwa wa maumbile. Lakini hakuna tofauti zaidi ya hapo.
 
Size ya ubongo inatofautiana na sio kwa ME na KE tu hata kwa ME vs ME au KE vs KE.

Lakini size ya ubongo haina influence kwenye intellectual capacity ya mtu.

Tunapotofautiana pakubwa ni mental/intellectual capabilities.

Hivyo kuna mwanamke anaweza kumzidi mwanaume uwezo wa akali lakini pia kwa wakati huo huo na yeye kuna mwanaume amemzidi uwezo wa akili.
 
Ubongo wa mwanamume ni mkubwa zaidi ya mwanamke kwa asilimia 10-11. Mainly kutokana na ukubwa wa maumbile...Lakini hakuna tofauti zaidi ya hapo.
Ni common sense tu kua mtu akiwa na kitu flani kikubwa kuliko mwenzake basi ule ukubwa una kazi yake. Kwa maana kwamba huyo mwenye hicho kitu kikubwa kuliko mwenzake ana extra space/capacity/storage. Usi ignore completely hiyo extra ina kazi yake.
 
Ni common sense tu kua mtu akiwa na kitu flani kikubwa kuliko mwenzake basi ule ukubwa una kazi yake. Kwa maana kwamba huyo mwenye hicho kitu kikubwa kuliko mwenzake ana extra space/capacity/storage. Isi ignore hiyo extra ina kazi yake.
Although the male brain is 10 percent larger than the female brain, it does not impact intelligence. Despite the size difference, men's and women's brains are more alike than they are different. One area in which they do differ is the inferior-parietal lobule, which tends to be larger in men.
 
Ubongo wa mwanamume ni mkubwa zaidi ya mwanamke kwa asilimia 10-11. Mainly kutokana na ukubwa wa maumbile...Lakini hakuna tofauti zaidi ya hapo.
Tofauti zipo nyingi tu mbona.

Huwezi kuwashindanisha hawa watu katika mambo mengi.

Mmoja ni masculine na mwingine ni feminine yaani mmoja ni wa misuli nguvu na mwingine ni legelege.

Ukitaka kuona mauti jukwaani

Mpandishe mwanamume bondia wa uzito wa juu ulingoni ukimshindanisha na uzito huo huo kwa jinsia tofauti.

Ukitaka kuona wingi wa magoli langoni kwenye football pambanisha timu mshindi wa kombe la dunia wanaume na mshindi wa dunia wanawake.

Yapo mengi tu mbona yanatofautisha hizi jinsia yaani.

Mwana mke katika mzunguko wake wa damu kuna ku bleed kila mwezi tofauti na jinsia tofauti haina kitu kama hicho.

Ukitaka kijichanfanya na kuchanganyikiwa yalazimishe maumbile yawe tofauti na asili ya kuumbwa kwake. Wajuzi wa mambo wanakuambia hasa katika suala la maumbile kuwa uki panda uharibifu unavuna kimbunga.

Maandiko matakatifu yana kweli iliyo supreme juu ya ukweli wa maumbile lakini adui amekuwa siku zote akiyafanyia vurugu ili kuleta taabu kwayo.

No wonder bob Marley mtunzi wa nyimbo za kutafakarisha alitunga wimbo wenye mauthui ya "No woman no cry"

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
We’re talking intelligence. Kumbuka mleta mada kazungumzia kuhusu ubongo.

Au wewe ulikuwa supporter wa zile push ups jiwe tokea enzi anagombea Lowassa?
 
Hata katika intelijensia science ishakuambia ni tofauti.

Lakini kumbuka ukimaliza hii ya kiitelijensi rudi kwenye mangine kwa mlingano wa hao wawili.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Tofauti zipo nyingi tu mbona.

Huwezi kuwashindanisha hawa watu katika mambo mengi.

Mmoja ni masculine na mwingine ni feminine yaani mmoja ni wa misuli nguvu na mwingine ni legelege.

Ukitaka kuona mauti jukwaani

Mpandishe mwanamume bondia wa uzito wa juu ulingoni ukimshindanisha na uzito huo huo kwa jinsia tofauti.

Ukitaka kuona wingi wa magoli langoni kwenye football pambanisha timu mshindi wa kombe la dunia wanaume na mshindi wa dunia wanawake.

Yapo mengi tu mbona yanatofautisha hizi jinsia yaani.

Mwana mke katika mzunguko wake wa damu kuna ku bleed kila mwezi tofauti na jinsia tofauti haina kitu kama hicho.

Ukitaka kijichanfanya na kuchanganyikiwa yalazimishe maumbile yawe tofauti na asili ya kuumbwa kwake. Wajuzi wa mambo wanakuambia hasa katika suala la maumbile kuwa uki panda uharibifu unavuna kimbunga.

Maandiko matakatifu yana kweli iliyo supreme juu ya ukweli wa maumbile lakini adui amekuwa siku zote akiyafanyia vurugu ili kuleta taabu kwayo.

No wonder bob Marley mtunzi wa nyimbo za kutafakarisha alitunga wimbo wenye mauthui ya "No woman no cry"

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app

Rudi kwenye swali mkuu naona unatiririka tu bila kuelewa swali.
 
Hebu nifafanulie ulitaka kumaanisha nini kwa kuujumuisha wimbo wa Bob Marley kwenye post yako?
 
Nikiri nimeujumuisha hapo kimakosa maana nimegundua katika suala hili hutujadili kiimani.
Hili la wimbo wa bob lina ingia zaidi kwenye mjadala wa imani katika kulingania hizi jinsia mbili

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Nikiri nimeujumuisha hapo kimakosa maana nimegundua katika suala hili hutujadili kiimani.
Hili la wimbo wa bob lina ingia zaidi kwenye mjadala wa imani katika kulingania hizi jinsia mbili

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Umeamua kujificha kwenye imani. Ngoja nikupe 'Ilmu'...

"The title and main refrain, "No Woman, No Cry", means "Woman, don't cry". The lyric is sometimes misunderstood outside Jamaica to mean "if there is no woman, there is no reason to cry". The lyric is rendered "No, woman, nuh cry" in Jamaican patois."

Usirudie tena kutaka kukandamiza wanawake bila kuwa na your facts straight.
 
Fact ni kuwa vilio vyote unavyo viona duniani kisababisho ni mwanamke hayo unayokuja nayo wewe ni namna fulani ya kupotosha kile kilicho maanishwa katika huu utunzi.
 
Back
Top Bottom