Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

Tushawazoea Wewe na type yako yoote
Umetafuta sababu ya kuachana naye kisa Huyo mdash nyambaf kabisa
Unataka mwaliko??
Usijali utatumiwa.
Wadada wengine bhana
 
Sawa
 
Tushawazoea Wewe na type yako yoote
Umetafuta sababu ya kuachana naye kisa Huyo mdash nyambaf kabisa
Unataka mwaliko??
Usijali utatumiwa.
Wadada wengine bhana
Sawa
 
Videm ving under 25 vinapenda kuigiza uzungu wakati vimezaliwa Tandale kwa Tumbo.
We kama alishakwambia anakereka na huo uzungu wako why uendelee nao? You deserve what u've got.
 
Wenzio wameishi mtoni for ten years still wako normal we kukaa tu na wazungu hood moja unasahau kama uko bongo???
Dah wonders shall never cease.
Yaan .. Kuna kipindi pia niliwahi kuishi maeneo flani yaan ndo nikajikuta na mimi wa mambele ndo maan unakuta napost kitu nasahau kabisa kama hii ni tanzania
 
Nyie watoto subirini mkue mapenzi waachieni wazazi wenu. Shika elimu elimu elimu ukikua utagegedwa zaidi ya Amber Rutty mpk uchoke mwenyewe. Kwa sasa shikilia masomo. Ni mimi mzazi Funzadume
 
Apologising doesn't always mean you are wrong and the other person is right, it sometimes shows that you value the relationship than your ego. Alisikika mlevi mmoja
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† muongeze bia kwa bill yangu huyo mlevi
 
Kama ulikua haujui definition ya Shobo ndio hiyo ya kwako kwa hao Wazungu;unaonesha ni mtu wa kupapatikia sana foreigners,huyo mtoto mwenzio ashukuru ametua time bomb
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ as clear as it appears
 
Videm ving under 25 vinapenda kuigiza uzungu wakati vimezaliwa Tandale kwa Tumbo.
We kama alishakwambia anakereka na huo uzungu wako why uendelee nao? You deserve what u've got.
[emoji108]
 
Wenzio wameishi mtoni for ten years still wako normal we kukaa tu na wazungu hood moja unasahau kama uko bongo???
Dah wonders shall never cease.
Unajua ni kpnd cha mda gan???? acha kuongea ongea tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…