assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
KAMA ni mfuatiliaji wa siasa za AFRIKA utaona bara zima linaungua moto kwa sababu ya uroho wamadaraka na kushindwa kuwa tolerant na kupractise democracy.
Mfano mzuri ni kwamba sudan kusin walikua wanalalamika zaidi ya miaka 20 kwamba wanataka kumtoa mkoloni mwarabu katika nchi yao lakini kumbe lengo ni uroho wa madaraka.
Baada ya kura ya maoni umoja wa mataifa waliwapa uhuru na sasa hawana mda mrefu RAIS SALVA KIIR akaanza kumuona makamu wake wa rais RIK MACHAR kwamba anacompete for power HIVO ILI KUMNYAMIZISHA akamfukuza kazi ili asiwe na challenge akiamini atabaki salama na atalala usingizi kwani his rival atakuwa amekwisha mmaliza lakini on turn sasa maelfu ya wananchi wamekufa wanaendelea kufa lakini chanzo hasa ni uroho wa kujilimbikizia madaraka kwa viongozi wengi wa bara la afrika.
Sasa narudi CHADEMA
ukiangalia kinachoendelea chadema hakina tofauti na kinachotokea sudani kusini mh zito alikua anataka kugombea umwenyekiti wa chama, vilevile kugombea uraisi pamoja na mengine ila hayo ndio yalioleta mtafaruku mkubwa chamani je kwanini viongozi wa afrika hatujifunzi kutokana na makosa ya wenzetu ya kung'ang'ania madaraka na vilevile kujikita kueliminate political rival hili ndio limekua janga kubwa la demokrasia afrika.
Nawasilisha.