Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

Mzee baba mbona unadharau kwa mtu ambaye humjui alafu mbona liko wazi WCB wameshawasaini wasanii wawili teyali na diamond mwenyewe ndo amesema.Me kusema Mavoko amechelewa sijasema tu kimakosa angalia wote waliotoka Wasafi Kama Kuna mtu yoyote amewahi kurudishwa mfano mzuri qboy msafi.
Unakisia tu huna uhakika...punguza kuwananga waliofanikiwa hata kama hawapo kwenye ubora wao
 
Amekonda sana jamaa. Daah Mavoko anakupaj sana aisee, tatizo anaonekana tu anakaroho furani hv ndio maana apati mafanikio makubwa. Angebaki tu kule, hz media zinawaharibu sana wasanii hususa ni Cloudz. Wakishaona tu Soko limeshuka wanakususa.

Leo Harmonize anapewa Promo kushinda Ali Kiba na Weusi, kweli?? Huku Mavoko ashawekwa Sub, Cloudz mbingu mtaiskia tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi mara nyingi uwa hata unishauri vipi maamuzi yangu uwa ni kichwa changu, ninaweza kukusikiliza ninakukubaria lakini kumbe hata sijazingatia. Sometimes siyo kitu kizuri maana kuna mambo uwa nafail kwa kutozingatia ushauriwa watu ila uwa sijilaumu sana kama ambavyo ningefail kwa kufuata ushauri wa watu.
Kichwa changu serikali yangu aisee.
 
Itakuwa yule Diva divana,tuache utani chombo sana yule binti
Demu wake anaitwa fey mweusi Sana alafu mrefu alafu Hana mvuto na Kuna kipindi waliingia kwenye mzozo baada ya rich Mavoko kuchepuka na Gigy money.Huyo diva hajawahi kutoka kimahusiano na Mavoko Bali ukaribu wao ulikuwa wa kikazi ndo wakatoa ngoma moja hiv nimelisahau jina baada ya hapo kukawa hakuna ukaribu kiufupi Mavoko hajui kuchagua mademu wa kali huyo demu wake fey ukinipa ata nioe bure sioi shape Hana, sura ya baba.
 
Aaàaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom