Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

Inaumiza
Ila inaukweri ndani yake

kelphin kepph
Toa uongo wako hapa Mavoko alikua alikua bora kabla hajaingia WCB kapote baada ya Kuingia uko

Rejea Ngoma za Mavoko kabla hasainiwa na WCB na Ngoma za Mavoko Baada ya Kusain WCB, Mavoko wa Kabla ya WCB alikua kwenye Top 5 Wasanii bora wa Bongo Fleva alivyosaini kwenye kalebo ka wapigaji wakamfanya kua Underground

hata kimapato Mavoko wa Wcb hakua na kitu zaidi ya kupata sifa za kijinga na Uteam, hakuna maendeleo yoyote aliyopata akiwa Wcb, baada ya Mavoko kuwachana ukweli na kujitoa Wcb wakaona wamununulie Mbosso Gari na Nyum
ba wakati kwa Mavoko kwa miaka yote aliyokuepo WCB hawakuwai kumfanyia hivyo na mikataba yao ya kinyonyaji

Poor WCB

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mmemjaza upepo mpaka kaondoka wcb ,oneni sasa hata kusikika asikiki tena

Daaah watu wabayaaa
 
Justin bibber anaandikiwa
justin timberlake anaandikiwa
Rihana anaandikiwa
Nandy anaandikiwa
kunawasanii kibao duniani wanaandikiwa ko sio hajabu ila tukirudi kwa mond ukweli waujua mwenyewe na hizi ni baadhi ya nyimbo alizo andikiwa na kuiba/kucopy
Halleluya aliandikiwa na Alli kiba
Marry you aliandikiwa na Alli kiba
Wakawaka aliandikiwa na Mavoko
I miss you aliandikiwa na Harmonize
Nana alikopi kwa mr frevour
Kidogo alikopi kwa p square
Zipo nyingine nyingi tu ila hzo ni baadhi
Hizi nazo ni pumba kama pumba nyingine
 
Mavoko kayachezea maisha na maisha yamemchezea hata dada yake dokii ambaye ni moja ya mshauri wake naye amemuacha.

Mavoko kachukuliwa WCB akiwa ameshashuka kimziki baada tu yakuingia WCB wakam'garisha video zake zikawa zinafika more than 4 million lakini pia alikuwa anatengeneza hit song.

Ukiachana na hapo akawa anapata show nyingi ila sasa hiv show pekee anayopata ni ya fiesta.Na kumbuka wakati anafanyiwa interview na lilyommy akasema tokea aingia WCB maisha yake yamebadilika Sana kiuchumi na amekuwa na maisha Cha ajabu huyo huyo baadae kauli ikabadilika sijui alikuwa anatafuta namna ya kuondoka.Yote kwa yote maisha Yana mafunzo yake.
Kweli
 
Mavoko aliwahi sana kutoka wcb,angekaa hata miaka 5 ndio aondoke ,angesubiria angekuwa na international collabo nyingi ndio aondoke sasa yeye collabo moja tu na pantoranking akaona tayari hawa jamaa watakuwa wana ni nyoya.

Na kibaya jamaa alivyoondoka ameenda kuanza upya ,account ya YouTube amewaachia.

Sasa hivi hakuna kupanda ndege tena.akili za kuambiwa changanya na zakwako.
Vizuri walimuacha aondoke ili ajione alivyokuwa mjinga.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mavoko aliwahi sana kutoka wcb,angekaa hata miaka 5 ndio aondoke ,angesubiria angekuwa na international collabo nyingi ndio aondoke sasa yeye collabo moja tu na pantoranking akaona tayari hawa jamaa watakuwa wana ni nyoya.

Na kibaya jamaa alivyoondoka ameenda kuanza upya ,account ya YouTube amewaachia.

Sasa hivi hakuna kupanda ndege tena.akili za kuambiwa changanya na zakwako.
Vizuri walimuacha aondoke ili ajione alivyokuwa mjinga.




Sent from my iPhone using JamiiForums
Account ya Youtube haja nyang'anywa hii nyimbo aliitoa mwaka jana,aliweka katika account yake hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom